Kwanza una kesi ya kujibu.
Lady doctor ukuda wangu uko wapi??? Kwanini tufiche wakati ukweli unafahamika???
Pole sana Mama Ngina, nenda kawafungulie kesi hawa wafuatao:
1. Mmiliki wa Leo Tupo Hapa Pub, kwa kumleta kaundime mjini.
2. LiverpoolFC kwa kumhadithia mambo matamu aliyopewa.
Mama Ngina vuta subira tuombe arudi salama maaana m23 huwa hawatabiriki
Mama Ngina vuta subira tuombe arudi salama maaana m23 huwa hawatabiriki
Vin Diesel ameshindaje Lady doctor?
I am here darl. Please let them say whatever they want bt the reality is I WILL ALWAYS LOVE YOU. No matter what!!