ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
hivi wewe upo kweli?
ilikuwa 2007 mkuu!!hiyo sehemu ni nzuri ajabu
ilikuwa 2007 mkuu!!hiyo sehemu ni nzuri ajabu
nipo ladyfurahia,vipi mzima wewe?
Ndio maana yake. Booking ya hapo ufanye miezi kadhaa kabla. Hapo wanafikia mastaa wakubwa toka Hollywood. Malipo kwa kadi.duh dola elfu 10,000? na si ajabu ukienda bila kufanya booking unaweza kukosa chumba
mm ni mzima buheri wa afya
sijui wewe uliye mbali na upeo
wa macho yangu,
wameshakuja chuoni kwenu
POSTA kukufundisha kuandika barua?
SINGITA GURMETI...hata mi nishawahi kulala usd 3000 per night
Nilikuwa najaribu kupaelezea hapo mahali(Serengeti) kama mbingu iliyopo duniani...basi ndio nikakumbuka kumbe kuna best mwenye kutumia ID ifananayo na maandishi hayo
acha ushamba ku-qoute post yooote........wow, singita!!!!! 5*****
We Preta, kwa hiyo mlilala wangapi hapo..??Nilikuona na Oprah....si ndio alilala hapo na yeye.....usidhani sikuwepo.......