Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,988
- Thread starter
- #61
sijui kama umekulia vijijini kama mie.
Tulikuwa hatuna mipira hii aina ya kuchezea tenesi.
Tulkuwa tunatumia mayai ya mijusi au nyoka fulani hivi kudunda dunda kama tenesi.
Ukifika umri kama huu wangu, mayai yanadunda tu na wala si unyanyapaa.
Pampzi tunapeleka wapi?
Utakuwa umesimuliwa wewe, mayai ya mijusi na nyoka umeyajulia wapi?
Pampers bila shaka zinapokelewa mtambuzi pub, tabata mtaa wa ubaya ubaya!