Mtambuzi apata mtoto, Baby Boy

Hongera Mtambuzi, Mungu awajalie afya njema wewe baba, mama na mtoto, mmlee na kumkuza mtoto katika njia zinazompendeza Mungu
 
umeona enh!apotee humu fasta kabla sijakupa boda boda uniitie Madame B
mambo gani ya kushinda jamvini humu wakati mama ngina hajapelekewa uji wa pilipili manga!

Haya WAREMBO nimewasikia..... niko huku namliwaza mama Ngina

shutterstock_13373227-660x450.jpg
 
ahhahaahhahha mzee kwa kujioshea wewe!huo ubutiful blak namna hii uutoe wapi!?haya bwana mbembeleze mama ngina lakini halahala mtoto huyo!atembee huyo!

Acha mambo yako bana, si tutatumia miti shamba..!
Siku hizi nhata ukitaka kusongesha baada siku mbili tangu uzazi inawezekana, chezea wamasai wewe.....
 
Acha mambo yako bana, si tutatumia miti shamba..!
Siku hizi nhata ukitaka kusongesha baada siku mbili tangu uzazi inawezekana, chezea wamasai wewe.....

pana chezeya mimi!nenge la kusuburia kisirani cha tumbo kiishe mchezo!
lazima mbinu za kivita zitumike!:spy::photo:
 
Back
Top Bottom