Ile niipewa mimi ilikua ni muhogo pure. Wanafunika mihogo hadi ina vunda, inatoa harufu kali sana (sio mbaya lakini).
Sikuona wanavo pika ila nyumba nzima ilikua na harufu kali. Nilienda msibani ndio nikapewa, nilishindwa kukataa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.