kwani umelazimishwa kusoma???ka ukikuta tena hapa huna haja ya kusoma tena by the sio kila mtu hutembelea michuziNapataga shida kweili kuelewa, hivi ni sisi JF tunatoa kwa Michuzi au Michuzi ndiye anayetoa hapa JF kwetu? Kwa maana naona kitu kwa michuzi hafu nakikuta copi pesti huku! Au nakiona huku afu nakikuta copi pesti kwa Michuzi.
kwani umelazimishwa kusoma???ka ukikuta tena hapa huna haja ya kusoma tena by the sio kila mtu hutembelea michuzi
<br />Hii kitu naiona kama mara ya 3 hapa hapa JF. Kama vipi tuwe makini ili kuondoa duplication. Kamavipi wakali wa Artificial Inteligence wa design system ya kuondoa topic kama hizi.
kwani umelazimishwa kusoma???ka ukikuta tena hapa huna haja ya kusoma tena by the sio kila mtu hutembelea michuzi
<br />Napataga shida kweili kuelewa, hivi ni sisi JF tunatoa kwa Michuzi au Michuzi ndiye anayetoa hapa JF kwetu? Kwa maana naona kitu kwa michuzi hafu nakikuta copi pesti huku! Au nakiona huku afu nakikuta copi pesti kwa Michuzi.