Mtake msitake Zitto ni jembe

Status
Not open for further replies.
Hata jembe la kuchimbia watu wakitaka kunya porini ni jembe so inategemea zitto ni jembe lipi
 

Ukweli upo wazi.zitto nitishio kwa wenye chadema.
 
Zitto ni mroho wa madaraka ,mnafiki na mshirikina sana
 
ujumbe wa post yako ni kinyume chake. mnamkubali nyinyi kwa sababu ni mchumia tumbo mwenzako ni mpigania vyeo vya juu ili awe mfalme. huu si wakati wa kulumbana na kuhujumu tunataka ukombozi. kakiumbe kama hako kanatusumbua...namheshimu tu ningesema kitu
 
Mtapata shida sana nyie, hao akina wenje,mnyika,nassari,msigwa, mbilinyi,Lissu, Slaa ni WACHAGA!???? siasa za hivyo hazina mashiko tena na zimeshachuja, na hakuna aliyekataa kama Zitto ni jembe

mkuu naomba comment zako kwenye hili,hivi unadhani kama issue ya kadi mbili ingempata Zitto ingekuwa handodi kama ilivyokuwa kwa Slaa?
 
Last edited by a moderator:
eti "anasimamia anachokiamini" kwa hiyo kama anasimamia utumbo anaouamini basi wewe anakufelisha kabisaaaa!!!
USITUAMBUKIZE UJINGA WAKO!!!!!!!

eti "anasimamia anachokiamini" kwa hiyo kama anasimamia utumbo anaouamini basi wewe anakufelisha kabisaaaa!!!
USITUAMBUKIZE UJINGA WAKO!!!!!!Unajisikiaje Mkuu?!
 
Sijui ni jembe la kulimia mitishamba au nini?

Mbona mnatumia nguvu nyingi kumsafisha? Kwani sisi hatuna macho?
 

kwani kuna ubaya gani wa kumfananisha zitto na wabunge mwenzake vijana ambao wengi wameingia kwenye siasa kwa kuvutiwa na siasa za zitto.
 
Ila jembe huwa linavalishwa mpini.
 
Udini, ukanda na ukabila ndio slogan maalum ya kundi la PM7 kwa mujibu wa ushahidi uliowatoa mafichoni kundi la masalia.
Na hii ID za Pilitoni na Ally Kanah ni mojawapo ya ID 20 zinazofanya kazi maalum hapa JF kwa niaba ya kundi la uasi la PM7 ili kuhakikisha kwamba bosi wao anapewa kila aina ya utukufu wakati hastahili kabisa kuendelea kuaminiwa kwa haya aliyoyafanya.
Je umahiri wa kujenga hoja ndio matokeo ya kuanzisha kundi la PM7?
 
Last edited by a moderator:

Wewe ni nani hadi utusemee sisi wana MARA? Acha ujinga...hapa...Zitto ni jembe la mkono limepitwa na wakati...Matrekta wakina Tundu Lissu na J.J.Mnyika wapo kazini..na sio Waskazini...nyama ya mbafu wewe...
 
Mkuu is this necessary...?!!!!

Yaani kuonyesha umahiri wa fulani ni lazima kuonyesha kwamba wengine hawafai ?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…