Mtake msitake Zitto ni jembe

Status
Not open for further replies.

acha kuleta ukanda hapaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!! Nec amko la mwisho!!!!!!!!!!!!!!!!! T
 
Kuna mwanamke mtaani kwetu alikuwa na tabia ya kuwasifia bwana zake. Kila akionana na wenzie anaanza kuwaadithia jinsi bwanake ana uume mkubwa, ooh anajua kunanii kuliko kila mwanamme ambae amepata kuwa nae, oooh akimfanya anafurahi, oooh hakuna anaemfika oooh.............. Lakini haya yooote yalitokana na ufinyu wa mawazo na ushamba wa wanaume. lakini kubwa zaidi ni kuwa sidhani kama wasichana wenzie walitaka kila saa kusikia maelezo ya ulimbukeni wa wanaume uliomwendesha huyu mwanamke. Anachosha , anakera.

Hili la zitto na masalia linachosha sasa. Akili zetu hazianzii na kuishia kwa uwepo/uwezo wa zitto. CHADEMA ni taasisi kubwa, uwepo/uhai wa CHADEMA hautegemei uhai wa zitto au utendaji kazi wake. Zitto alikuja na ataondoka.

Tuache ufinyu wa fikra na uzembe wa mawazo - tujitahidi kulishana mawazo na maoni yenye viwango badala ya kulishana matapishi kwa nia ya kufanya wengine wafikiri kama wewe.
 
mimi ni CCM damu lakini kwa uandishi huu napata shida kuelewa kuelewa jinsi gani unamsifia mwanaume mwenzio namna hii mhhh njaa jamani haina baunsa!!!!!
 

ZZK ni presidaa bwana hawa wengine wanao mwaga sera kama wanahubiri na kuhujumu ruzuku za chama kwakujikopesha mijihela wazushi tuu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…