Teh teh..dah!wkend yangu imeanza vizuri..Am glad wameipeleka mbali huko....mkulu hataiwahi aslani....imagine 45 min uko New York huyu jamaa si atakuwa analala huko na kuja kazini asubuhi
ah ah ah ah, mkuu biashara ya mafuta watamwachia nani?Hata solar powered cars wameshindwa kuziuza sawa sawa ndio waweze ndege? ndoto hizo bwana!
kwan zlizuiliwa?Hivi hizi ndege kwanini zilizuiwa?
Auhh!!Awesome......