Mtaka ndiye unayefuata

Kumbe mikeka huwa inajaa majina ya hawa jamaa! kwamba wao ndo wateule peke yao wa kula mema ya nchi........kweli bongo bahati mbaya, kumbe unaweza kuwa na CV kali lakini hauko miongoni mwa hao jamaa, teuzi zinakuwa zinakupita kando.​
 
Anahesabiwa tu, ni Chadema mzuri
 
Ni kweli .
Wanasiasa wanataka waungwe mkono kwenye mambo yao ya madaraka lakini hawaoni mateso ya wananchi yasiyohusu madaraka Bali maisha yao ya kila siku.

Nchi hii tatizo ni Moja TU ambalo ni matumizi mabaya ya serikali. Hili likisimamiwa hata ruzuku ya chakula itapatikana na Maharage ,mchele ,mahindi na mafuta ya kupikia.
 
Mtaka ni jembe kweri kweri.

Tatizo Kwa Sasa siasa za Tanzania zimegeuka na kuwa siasa za kulamba asali. Hakuna anayezungumzia suala la uadilifu na uchapa kazi . Mtaka ni mchapa kazi na mwadilifu sana.
Nilitegemea mtaka ateuliwe kuwa Mbunge Kisha apewe Wizara ya Miundo mbinu, Kisha Mbarawa apewe Nishati na madini.
Nape Nnauye Wizara ya Mambo ya Ndani.
Mwigulu VIWANDA na Biashara , Fedha Dr. Kimei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…