Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 17,580
- 28,549
Umeongea sawa.Unajua bora uwe na maamuzi ya kuamua unaweka wazi au husemi kabisa. Kama mtaka unamjua vizuri na hutaki kumwaga unga mfate kwake uongee nae kiume...
Kaondolewa Diwani na kuachwa awe Mwalimu NDC sembuse wengineKwan TISS hawatenguliwi
Hana uzalendo wowote ni mpigaji mzuri sanaAtakuja mhunze mnadani mchome wote nyama za mbuzi.
Yes ni suala la Mda tu si
unaona Hata lile zengwe la mifuko hewa ya mbolea lilikuwa kwake
Team msoga wanamtafuta Kwa fujo Sana Huyu mzalendo
aliyebaki
Unaongea UTUMBO tuMtaka alitakiwa mpaka muda huu awe amesha acha mbegu za kutosha hapo Njombe.
Ingekuwa mimi ndio Mtaka, mpaka sasa ningeshakuwa nimeshapanda mbegu za mipara chichi elf 20 katika kujijengea kesho yenye neema.
Mtaka is dam good!, namfahamuAlipimwa pale dodoma akaonekana hatoshi, akawa demoted kwenda kusimamia mashamba ya miti na matunda.
Bila kupewa nondo za kuongea na akina Malisa na Dk Cyrilo, ni mweupe tu. Sasa RC anaandikiwa speech na Malisa mwana CDM
Hilo swali muulize paschal MayalaKwahiyo mnataka katiba ya watanzania wote au katiba ya Wanasiasa wa kizazi kipya?
Duh!,Mkuu wake wa kazi alialikwa siku ya wanawake Duniani.CCM njombe wasipokuwa makini, jamaa atapitisha mbunge wa upinzani wa kwanza kwa Mkoa wa njombe, anashinda sana kwenye magrupu ya wasap ya CDM, wamchunguze kwa makini.
Humsikii anachangia ujenzi wa Ofisi za CCM, akisikia mwana CDM anaumwa, Yuko tayari hata akope
Ila nilimpenda kwenye mgomo wa Daladala aliyomalizana naoAnthony, nakutonya mdogo wangu mfumo haukutaki na ni sababu tu inatafutwa ili ikumwage!
Kama mhangaikaji na binadamu mwenzangu nakuomba jiandae kisaikolojia yule jamaa aliyekunokolea kipindi ulipokuwa Mvomero kuna kila dalili anaelekea kufanikiwa tena.
Pole mwanamme mwenzangu!
Msoga wanaharibu nchiAtakuja mhunze mnadani mchome wote nyama za mbuzi.
Yes ni suala la Mda tu si
unaona Hata lile zengwe la mifuko hewa ya mbolea lilikuwa kwake
Team msoga wanamtafuta Kwa fujo Sana Huyu mzalendo
aliyebaki
Mzee una chuki zako tu mbona jamaa yupo vizurAlipimwa pale dodoma akaonekana hatoshi, akawa demoted kwenda kusimamia mashamba ya miti na matunda.
Bila kupewa nondo za kuongea na akina Malisa na Dk Cyrilo, ni mweupe tu. Sasa RC anaandikiwa speech na Malisa mwana CDM
Sahihi kabisa!!Duh...!. Hili likifanyika litakuwa ni kosa kubwa ambalo hata Mama litamgharimu!. Kuna watu wa kuchezea na kuna watu sio wa kuchezea.
P
Upuuzi mtupu we mdada acha fitina!!CCM njombe wasipokuwa makini, jamaa atapitisha mbunge wa upinzani wa kwanza kwa Mkoa wa njombe, anashinda sana kwenye magrupu ya wasap ya CDM, wamchunguze kwa makini.
Humsikii anachangia ujenzi wa Ofisi za CCM, akisikia mwana CDM anaumwa, Yuko tayari hata akope
Alipimwa pale dodoma akaonekana hatoshi, akawa demoted kwenda kusimamia mashamba ya miti na matunda.
Bila kupewa nondo za kuongea na akina Malisa na Dk Cyrilo, ni mweupe tu. Sasa RC anaandikiwa speech na Malisa mwana CDM
Mawazo ya kizamani na ya kijinga, Mkurungenzi mkuu wa TISS kaondolewa sembuse Mtaka?Mtaka ni tiss toka mzumbe