ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,414
- 85,225
Kwani ana u spesho gani huyo mbona mna mpaisha bila sababu za msingi?Anthony, nakutonya mdogo wangu mfumo haukutaki na ni sababu tu inatafutwa ili ikumwage!
Kama mhangaikaji na binadamu mwenzangu nakuomba jiandae kisaikolojia yule jamaa aliye kunokolea kipindi ulipokuwa Mvomero kuna kila dalili anaelekea kufanikiwa tena.
Pole mwanamme mwenzangu!
Duh...!. Hili likifanyika litakuwa ni kosa kubwa ambalo hata Mama litamgharimu!. Kuna watu wa kuchezea na kuna watu sio wa kuchezea.Anthony, nakutonya mdogo wangu mfumo haukutaki na ni sababu tu inatafutwa ili ikumwage!
Kama mhangaikaji na binadamu mwenzangu nakuomba jiandae kisaikolojia yule jamaa aliye kunokolea kipindi ulipokuwa Mvomero kuna kila dalili anaelekea kufanikiwa tena.
Pole mwanamme mwenzangu!
Hivi sekeseke lile liliishia wapi?...na hata yule bosi wa zamani wa ile...
atakuwa Nzengendelete au UyelevaleNdio wapi hapo?
Idundilanga?!!
🤩🤩 Hapo Chaugingi ni mjini siku hiziatakuwa Nzengendelete au Uyelevale
Katiba mpya haiwezi patikana wakati hakuna wa kujitokeza ata barabarani kudai au kulalamika kuhusu mfumuko wa bei inawashinda mtapewaje katiba mpya?.KATIBA MPYA ni zaidi ya huyo Antonio mtakuja. Tunadai KATIBA mpya
Hongera mkuuWhen the rippen time is due...!
Mkuu barabara zipo Ingia Kwanza wewe sisi wengine tutafuata badaeKatiba mpya haiwezi patikana wakati hakuna wa kujitokeza ata barabarani kudai au kulalamika kuhusu mfumuko wa bei inawashinda mtapewaje katiba mpya?.
Watanzania wote 61mln mnazidiwa na Erick omond mmoja wa kenya kaanzisha vitazip Odinga kafata kenya sasa hivi hakukaliki
Basi katiba haiwezi patikana kabsaaa kwa uoga kama huo!.Mkuu barabara zipo Ingia Kwanza wewe sisi wengine tutafuata badae
Anza wewe vzr gharama yani si tuingie barabarani, we utulie kwenye makochi ya shemeji yako unasubili tukuletee KATIBABasi katiba haiwezi patikana kabsaaa kwa uoga kama huo!.
Nachukia watu wasiotumia kichwa na kutumia makalio kama wewe kuishi.Ulisoma ukaelewa nilichoandika au kwa sababu tu vijana wa upinde wa mvua mmeambiwa na nyie mna haki kwenye jamii....Mm sio bashaaa so kaushana na mm plz.Anza wewe vzr gharama yani si tuingie barabarani, we utulie kwenye makochi ya shemeji yako unasubili tukuletee KATIBA
Tanzania siyo Kenya!Katiba mpya haiwezi patikana wakati hakuna wa kujitokeza ata barabarani kudai au kulalamika kuhusu mfumuko wa bei inawashinda mtapewaje katiba mpya?.
Watanzania wote 61mln mnazidiwa na Erick omond mmoja wa kenya kaanzisha vita Odinga kafata kenya sasa hivi hakukaliki
Utakuwa jinsia ya ke.Anthony, nakutonya mdogo wangu mfumo haukutaki na ni sababu tu inatafutwa ili ikumwage!
Kama mhangaikaji na binadamu mwenzangu nakuomba jiandae kisaikolojia yule jamaa aliye kunokolea kipindi ulipokuwa Mvomero kuna kila dalili anaelekea kufanikiwa tena.
Pole mwanamme mwenzangu!
Alimnokolea mhhhh!!!Anthony, nakutonya mdogo wangu mfumo haukutaki na ni sababu tu inatafutwa ili ikumwage!
Kama mhangaikaji na binadamu mwenzangu nakuomba jiandae kisaikolojia yule jamaa aliye kunokolea kipindi ulipokuwa Mvomero kuna kila dalili anaelekea kufanikiwa tena.
Pole mwanamme mwenzangu!
Mkiona suti tu, wengine wanaendaga misibaniMtaka ni tiss toka mzumbe
Kwahiyo mnataka katiba ya watanzania wote au katiba ya Wanasiasa wa kizazi kipya?Tanzania siyo Kenya!
Kale kaujita kanamponza kau "yego Jaji" "yego chikaka", masologo Manyege.Ujeuri, ujuaji sana na dharau vikizidi uzuri wote unafifia ndio hivo yaani.
Alipimwa pale dodoma akaonekana hatoshi, akawa demoted kwenda kusimamia mashamba ya miti na matunda.Duh...!. Hili likifanyika litakuwa ni kosa kubwa ambalo hata Mama litamgharimu!. Kuna watu wa kuchezea na kuna watu sio wa kuchezea.
P