Mtaji wa Tshs. milioni 3 uzalishe Tshs. 40,000/= kwa siku; njoo tufanye biashara

Upo tayari uwekezaji ufanyike sehemu gani hapa TZ?

Turudi kwenye mada. Biashara zote zinaweza kuleta kiasi hicho ila kwa upande wangu ningeshauri kuwekeza kwenye CARWASH ya kisasa

Mahitaji.
1.Pressure machine
2.Frame(japo si lazima)
3.Sabuni na Madodoki
4.Tanki la maji(inategemea na eneo)
5.Eneo la parking (At least 5 cars)
6.Friji(For soft Drinks and soft foods kwa ajili ya customers watakaokuwa wanasubiri magari yao)
7.Cheap labour.

Get Rich or Die Tryin
 
Idea bought
 
HAMISHA BIDHAA ZA SOKONI ZILETE KARIBU MTAANI, yani fungua genge kubwa liwe na bidhaa zote muhimu mtaani kwako bei iwe ya kawaida profit margin iwe rafiki kwako na wateja wasiumie, watu badala ya kwenda mbali watafurika kwako tena genge lako liwe linafungwa saa tano hadi sita usiku. hii itavutia wateja wa mtaani na maeneo ya jirani, genge liwe la kisasa huduma muhimu kama kuuza vocha tigo pesa, voda nk ziwepo, kuuza gesi za majumbani.
 
Note:

nitakwambia kitu makini mtoa mada zingatia mpaka nitapokuja kuandika hapa.

Siunapajua MlimaniCity basi iyo 40,000/= ndogo sana inapigwa kwa mikupuo miwili tu na kwasiku utapiga mikupuo 4 kwenda juu.

Nitakuwekea picha mfano mtu anaepiga 50,000/= kwa mkupuo mmoja.

Mantiki ya hapo ni LOCATION uwezi piga mkupuo mmoja 20,000/= kama location sio timamu ndio maana nikakwambia unapajua MlimaniCity.

Portfolio | 2020
Napajuwa ndugu. Lete idea..
 
Consider photoView attachment 1377088

Huu ndio mkupuo mmoja ninaouzungumzia...angalia hapo kuna jumla ya magari 10 yanayooshwa kwa mpigo gari moja Kuosha 5000/= minimum hapo sawa kapiga 50,000/= cash kwa mkupuo mmoja nakama anapiga na service zingine maanake anafikisha 65000/= kwa mkupuo mmoja kwasiku mkupuo kama hiyo akiipata mitano(5) sawa na 300,000/= profit kwa siku.

Sasa location ninaouzungumzia mimi unaiwezo wakuosha magari matano (5) kwa mpigo kwamaana matatu kwenye Carwash-shade mawili nje ya shade kwapale Mcity ndio naonaga hivyo sana kwahapo ukipata mkupuo mitano (5) yakuosha magari matano (5) kwa mpigo sawa na 125,000/= ambapo profit unaweza pata 100,000/= cash kwasiku kwamahesabu hayo ukipiga minimum piga uwa hukosi 80,000/= kwasiku iyo ni ×2 ya pesa unayoitaka wewe.

Mlimanicity ni umelifata soko magari yako full muda wote.

Leo nilipanga kesho nikaulizie location moja pale naionaga ipo Empty mpango wangu ulikuwa kukodi nakuweka shade ila nifanye bila mashine ila ninaweza kuConcern mpango huu kwako tupige kazi na mashine.

Portfolio | 2020
Yah. Figures hasa za mapato zinatamanisha. Ila muhimu naona uni pm uandike cost za kununuwa vitu vya kazi. Kurent eneo. Wafanyakazi wangapi na malipo yao kama nawe utaingiza hela ili nijuwe mgawanyo wa mapato.
Kifupi andika cost zote na income. Tengeneza kama ka spreadsheet hivi kidogo.
Halafu tutaendelea kushauriana.

Asante
 
Upo tayari uwekezaji ufanyike sehemu gani hapa TZ?

Turudi kwenye mada. Biashara zote zinaweza kuleta kiasi hicho ila kwa upande wangu ningeshauri kuwekeza kwenye CARWASH ya kisasa

Mahitaji.
1.Pressure machine
2.Frame(japo si lazima)
3.Sabuni na Madodoki
4.Tanki la maji(inategemea na eneo)
5.Eneo la parking (At least 5 cars)
6.Friji(For soft Drinks and soft foods kwa ajili ya customers watakaokuwa wanasubiri magari yao)
7.Cheap labour.

Get Rich or Die Tryin
Hapa umetisha baba Morgan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasisi wavuvi, 40,000 Ni faida ya samaki 40 tu, profit margin Ni 1000 kila samaki, damka asubuhi mwaloni wahi wavuvi wanapotoka ziwani, baharini.

Tafuta gap sokoni hata kwa kukodi meza weka mzigo. Au kuwa wholeseller wa samaki,kwa maana ya kununua kwa wavuvi unauza kea wauzaji wa reja reja ama wamama wanaokaanga samaki.

Weka profit margin ya 500 tu kila samaki, samaki 200=faida 100,000
 
Kwasisi wavuvi,40,000 Ni faida ya samaki 40 tu, profit margin Ni 1000 kila samaki.

Damka asubuhi mwaloni wahi wavuvi wanapotoka ziwani, baharini. Tafuta gap sokoni hata kwa kukodi meza weka mzigo,
Au kuwa wholeseller wa samaki,kwa maana ya kununua kwa wavuvi unauza kea wauzaji wa reja reja ama wamama wanaokaanga samaki

Weka profit margin ya 500 tu kila samaki,samaki 200=faida 100,000
Mnavulia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Consider photoView attachment 1377097

Huu ndio mkupuo mmoja ninaouzungumzia...angalia hapo kuna jumla ya magari 10 yanayooshwa kwa mpigo gari moja Kuosha 5000/= minimum hapo sawa kapiga 50,000/= cash kwa mkupuo mmoja nakama anapiga na service zingine maanake anafikisha 65000/= kwa mkupuo mmoja kwasiku mkupuo kama hiyo akiipata mitano(5) sawa na 300,000/= profit kwa siku.

Sasa location ninaouzungumzia mimi unaiwezo wakuosha magari matano (5) kwa mpigo kwamaana matatu kwenye Carwash-shade mawili nje ya shade kwapale Mcity ndio naonaga hivyo sana kwahapo ukipata mkupuo mitano (5) yakuosha magari matano (5) kwa mpigo sawa na 125,000/= ambapo profit unaweza pata 100,000/= cash kwasiku kwamahesabu hayo ukipiga minimum piga uwa hukosi 80,000/= kwasiku iyo ni ×2 ya pesa unayoitaka wewe.

Mlimanicity ni umelifata soko magari yako full muda wote.

Leo nilipanga kesho nikaulizie location moja pale naionaga ipo Empty mpango wangu ulikuwa kukodi nakuweka shade ila nifanye bila mashine ila ninaweza kuConcern mpango huu kwako tupige kazi na mashine.

Portfolio | 2020
Portfolio | 2020
Hili linahitaji pumzi ya kutosha Chief

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GROCERY

-frame kwa mwezi let assume 200,000×6=1,200,000/=
Viti kumi 1@15000×10=150,00
Meza nne 1@30000×4=120,000
Sabufa ya 100,000
bia kreti 12 kila aina ya bia labda kreti mbili mbili hapo kwa bei sijui
Soft drink km soda, juice,grandmalt,redbull n.k
Hapo hela iliyobaki utanunulia vinywaji na haitaisha Sasa ukipata location nzuri uhakika wa kuingiza hii 40 upo tena na zaidi hasa Siku za weekend

Kwa Dodoma hii biashara inaonekana inalipa coz kila Siku mabar yanawatu na wamejaa siyo jumatatu wala jumamos mfano ukipata maeneo km
Kisasa
Area D
Site 1
Area c
Ukipata maeneo kama Hayo ukasogeza na chakula karibu unapiga hela
 
Kama kichwa cha habari kisemavyo. Nina mtaji wa 3m/=. Walio serious na biashara, waaminifu, wapambanaji waje na IDEA tuzalishe 40,000/= kila siku. Iwe biashara halali tulipe kodi n.k.

KARIBUNI.
p.s. Ruksa kuni PM...
hongera sana mkuu ila fanyeni ideas zote lakini vikija hivi vijamaa vya forex piga chini vitakuingiza umaskini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasisi wavuvi,40,000 Ni faida ya samaki 40 tu,,profit margin Ni 1000 kila samaki,
Damka asubuhi mwaloni wahi wavuvi wanapotoka ziwani,baharini,
Tafuta gap sokoni hata kwa kukodi meza weka mzigo,
Au kuwa wholeseller wa samaki,kwa maana ya kununua kwa wavuvi unauza kea wauzaji wa reja reja ama wamama wanaokaanga samaki,
Weka profit margin ya 500 tu kila samaki,samaki 200=faida 100,000
MKUU NIMEKUELEWA MPAKA NATAMANI NIKUTAFUTE PIA UNIPE UFAHAM ZAIDI WA HII BIASHARA
 
Kwasisi wavuvi,40,000 Ni faida ya samaki 40 tu,,profit margin Ni 1000 kila samaki,
Damka asubuhi mwaloni wahi wavuvi wanapotoka ziwani,baharini,
Tafuta gap sokoni hata kwa kukodi meza weka mzigo,
Au kuwa wholeseller wa samaki,kwa maana ya kununua kwa wavuvi unauza kea wauzaji wa reja reja ama wamama wanaokaanga samaki,
Weka profit margin ya 500 tu kila samaki,samaki 200=faida 100,000
Elezea vizuri kama unapaswa kusikilizwa hivi.

Portfolio | 2020
 
Back
Top Bottom