Mtaji wa biashara

bluetooth

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
4,402
2,549
Wakuu

Ninayo security ya uhakika , property with tittle deed with a potential value from a valuation report (market value & forced sales value)

ninahitaji mkopo wa mtaji wa biashara, note ni kwa ajili ya kufanya biashara ambayo inaanza lakini tayari ina wateja with orders, je ninaweza kupata wapi mkopo ; ni institution gani (banks au micro finance) zinatoa mkopo wa aina hii

loan amount range ni 30- 100 millions

naomba pia tupate changamoto zilizopo kuhusu ukopeshwaji wa mitaji kwa wajasiriamali wadogo wadogo na wakati

nawakilisha
 
Mkuu i think you should start small and be ready to take risks. Use the little you have at the moment and save to be able to realize your goal. It is until you start, that you can identify threats and opportunities. Remember you can only become a successful business owner if you have a business to practice on. By doing so you will be assured of a constant cash flow which is another important consideration you need before you get a loan no matter the collateral. Tafakari kwanza please.
 
ushauri mzuri sana
 
nakushauri uza mali uliyonayo kisha fanya biashara endelevu tofauti tofauti.
 
Back
Top Bottom