Mtaji wa 70Mil

Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
10,270
8,031
Bado ni mwajiriwa, lakini ana milioni 70 anataka kuziwekeza. Biashara nzuri aliyoiona inalipa ni kuiwekeza kwenye Ubunge kwa tikti ya CCM mwaka 2015. Unaweza kumshauri kivingine?
 
Mmmmh..! My God. Hii nchi tunaipeleka wapi?? Yaan anawekeza kwenye UBUNGE!!, Hivi ubunge sikuhizi ni Biashara/resource!!. Sihtaj kuambiwa huyu jamaa ni fisadi, tena kapania hasa kuifisad tz. Ndo maana anawaza kpitia CCM kwa mafisad wenzie. Si bora awekeze hiyo hela ktk soko la HISA kuliko hivyo anavyo fikiri!! Ati kuwekeza kwenye ubunge. Amenikera kchz.
 
Bado ni mwajiriwa, lakini ana milioni 70 anataka kuziwekeza. Biashara nzuri aliyoiona inalipa ni kuiwekeza kwenye Ubunge kwa tikti ya CCM mwaka 2015. Unaweza kumshauri kivingine?
Tumekuwa kama wapopo sasa, bila aibu unasema mimi ni fisadi.
 
Kaka utakuwa umekosea njia kidogo mkuu, hii nadhani ulidhamiria kuiweka jukwaa la siasa!
 
Back
Top Bottom