The silent smile
Senior Member
- Jul 17, 2025
- 124
- 206
- Thread starter
-
- #41
Chura kuna wale wa kwenye maji na wa nchi kavu, wa kwenye maji hata mimi nawadaka, ila wa nchi kavu yamekaaga kijeda sana😄mie sio jasiri sana lakini napenda kuiga ujasiri,
Kuna rafiki yangu nilimuona akishika chura, toka hapo mimi chura nadaba kama panzi na kutupa nje. 😁😁😂😂😂
natafuta rafk mshika nyoka
Huyo mimi namshika bila shidaView attachment 3451377 SLUG! (konokono asiye na gamba)
🤮🤮🤮
yule mwenye jumba lake nacheza naye kabisa nakamata naweka mfukoni😄.View attachment 3451377 SLUG! (konokono asiye na gamba)
🤮🤮🤮
Binadamu tena, 😄Mnyama mdogo aitwaye binadamu
wa nchi kavu unakamata mbavu za mgongo 😁😁 hata akikojoa mkojo haukurukiiChura kuna wale wa kwenye maji na wa nchi kavu, wa kwenye maji hata mimi nawadaka, ila wa nchi kavu yamekaaga kijeda sana😄
Hata
yule mwenye jumba lake nacheza naye kabisa nakamata naweka mfukoni😄.
Ila wife akimuona yule konokono wa jumba lake anaweza piga kelele hadi balozi aje
Ahhwweeeee, hujanishawishi bado🤣wa nchi kavu unakamata mbavu za mgongo 😁😁 hata akikojoa mkojo haukurukii
Mhh, watu wa Pwani mpo vizuri, huyo mm naweza mla kama sijui au sijamuona, ila nkishamuona tuu basi siwezYupo konokono kule maji chumvi anaitwa tondo ukila siku ya kwanza uwezi kuacha kula tena
Tondo mtamu kama firigisi za kuku
Mimi na nyoka nahusi tunaogopana, sio mnyonge kiivyo kwa hao viumbe.Nyoka! Nyoka! Nyoka!
Sio toy, amekufa, yu hai wala kwenye picha
Kuwaua huwa sipati hata tabu, naua vizuri lakini mazoea nao kwa namna yoyote ile kwangu ni MARUFUKUMimi na nyoka nahusi tunaogopana, sio mnyonge kiivyo kwa hao viumbe.
Kwanini unawaua mkuu? Wamekukoseq nini?Kuwaua huwa sipati hata tabu, naua vizuri lakini mazoea nao kwa namna yoyote ile kwangu ni MARUFUKU
Unaniuliza kwa nini namuua nyoka!? Au na wewe ni mmoja wao nikuponde kichwa? WaheedKwanini unawaua mkuu? Wamekukoseq nini?
Mimi nyoka sijawahi kumuua, ila kwa bahati nzuri nakuwaga nawaona mapema, ila kubwa zaidi ni Mungu ananilindaga dhidi yao, maana mazingira mengine niliepuka sio kwa ujanja wangu.Mimi na nyoka nahusi tunaogopana, sio mnyonge kiivyo kwa hao viumbe.
CCM mtandao ndiye mdudu hatari sana na anasumu mbaya sanaHili suala sijawahi kujua linatokana na nini, wataalamu watatuambia..
Pale inapotokea unamuogopa tuu mnyama (wanyama wadogo) au mdudu. Yaan ukiulizwa sababu za kumuogopa hata huna jibu lakueleweka bali unamuogopa tuu, hata kama uwe baunsa ila utashangaa unaogopa kajongoo😄
Sasa bana kila mtu atutajie mnyama au mdudu anayemuogopa na sababu za kumuogopa, huenda tukajifunza kitu.
Binafsi namuogopa sana PANYA, sio kwamba namuogopa kwamba ataning'ata, hapana... Namuogopa tuu bila sababu.
Kadhalika, sijawahi kuweza kumuua panya, hata umfunge kamba hlafu unipe fimbo au jiwe nimpige afe, siwezi kabisa, maana mikono ni kama inapata ganzi na kukosa nguvu na sitaki awepo/apite karibu yangu.
Nikifika sehemu hlafu nijue kuna panya, hapo sitokuwa na amani kamwe.
Na hata nimkute amekufa hlafu uniambie nimshike, utakuwa umenipa adhabu kubwa sana nisoiweza.
Karibuni kwenye mada.