umenipata kam vip njoo pmHuu Uzi umenichekesha sana. Ngoja na Mimi nichagie naitwa Evalyn namtafuta Evarist
🤣🤣🤣Naitwa montana namtafuta manka
Toka mmeanza kutafutana mmeshapatana,,,angalau mmoja wa mfano aliyempata mwenzake????
Unataka case study sio 


Ee mkuu ili tuamin Kama JF inaeza kukupa partner kweli sio masihara![]()
![]()
Unataka case study sio
![]()


Sijapata bado binamu, nasubiri watu walete feedbackBinamu we vip bado ujapata tu jmn