Mtafaruko wa Furaha/Shangwe

Mtafaruko wa Furaha/Shangwe

Smartkahn

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2020
Posts
889
Reaction score
1,490
Kutatokea muwindano wa kutoana uhai(VITA) kwa viongozi waandamizi katika mfumo wa uongozi.

Kiongozi mmoja atakua au alikua anamuwinda mtu kutoka katika kundi dhaifu, alipomsogelea karibu... yule kiongozi mwenye nguvu pasipo kutarajiwa alihamaki kuona akishikiwa siraha yenye nguvu(bunduki) punde si punde zilifyatuliwa risasi mbili, mpigaji aligundua risasi zimeisha alipotaka kufyatua ya tatu.

Sijui nini kilimkuta yule kiongozi mwenye nguvu baada ya kufyatuliwa zile risasi mbili... Lakini nilichoshuhudia baada ya pale ni mtafaruko wa watu wakiwa na furaha na wakaanza kuondoka ni kama wanaandamana wakiwa na furaha shangwe na bashasha nyusoni mwao.

Faraja iwe nasi.
 
1774728647321.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom