Mtaani wizi umeshamiri sana, nini kifanyike?

Hali ya usalama mikoa mbalimbali sio nzuri! Wizi ni kama umerudi kwa kasi sana, sasa hivi usalama wetu na mali zetu uko mashakani sana!

Hata hapa JF kila siku lazima ukutane na nyuzi za watu kuibiwa hiyo ni ishara tosha kuwa hali ni tete.

Jeshi la Polisi liko wapi? IGP Sirro yuko wapi? Mbona wakati wa hayati JPM mambo yalitulia, wapi tumekosea? Nini kifanyike?
Wako greenguard watafanya hiyo kazi mana wezi wote ni ccm
 
Back
Top Bottom