Tatizo Nini? Kondom Dume za vipele zimeadimika sana mtaani

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,508
99,298
Wakuu,

Kuna mdau mmoja katoka kunipigia leo anaulizia wapi atapata Dume zile yenye vipele juu. Aliko maduka yote amezunguka sana amezikosa.

Nikamwambia mi mwnyw nmezitafuta sana mwezi ulopita nmekuja kuzipata kwa shida Sana,Tena Bei juu. Akasema nimwelekeze wapi nilikozipata,anazitaka.

Nmemwelekeza vizuri, kafika dukani nako zimeisha, nmemwelekeza maduka mengine Kama matatu hivi, kanirejeshea mrejesho pia kwamba kote amezikosa.

Nikamwambia basi azifate k'koo kwny maduka mengi ya jumla na rejareja, uku ni uhakika hawez kuzikosa.

Kanambia yuko mazingira mabaya sana, labda nimtumie boda wangu akazinunue ampelekee alipo, atamlipa pesa yake yote. Nikasema "POA", nikampa iyo kazi boda wangu.

Boda nae kazunguka sana tangu saa 8 mchana, Sahv kaniletea mrejesho kwamba kazikosa, maduka yote ya jumla na rejareja kapita hamna. Anasema zinapatikana zile za kawaida TU.

Hii imeniacha mdomo wazi sana

Nnachojiuliza sasa,
Tatizo Ni Nini mpaka ziadimike hivi?

Au Hilo toleo wameacha kabisa kutengeneza au shida ni nini hasa?

Kama kuna wahusika wa dume humu tupeni majibu Basi, Hali sio shwari kabisa mtaani.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom