Mtaani kwetu Jei Efu...

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
12,046
Reaction score
12,542
Hakuna ubaguzi wa rangi wala jinsia..
ni mtaa ambapo unaweza kuwasilisha mawazo yako hata kama hukubahatika kuweza kusema (bubu) Glory to God
ni mtaa ambapo unaweza kupata mitazamo ya wengine hata kama hukubahatika kuweza kusikia (kiziwi) Mungu mkubwa
ni mtaa unaoweza pata burudani, habari pamoja na kupata kufahamiana na watu mbali mbali- wema na wasio wema (changanya na za kwako).
God bless Jf founders, Mods na kisha membaz wote.

NB. TANMO safarini from Dar kuelekea nyumbani Oldonyo Lengai. Bus No. T (sori haijaandikwa kwa tiketi)
 
mtaani kwetuu...napendaga watu kama nyie...mnaoisemea mema Jf...safari njema wangu...
 
Jei Efu ni mtaa unaopatikana duniani kote
 
Hivi wewe mhariri wa gazeti la udaku mbona umepotea? Manake nna kaugonjwa kama ka wema sepetu ka kupenda media. Nilikuambia nimeacha bhange umenipotezea. Are we still friends? Wasalimie Oldonyo, uniletee vumbi.
 
King'asti hujambo dada? Shkamoo.. Aisee kuna watu skendo zilizidi wakaanza kutishia usalama wa mhariri. Turoho twenyewe si unajua nnato tumoja tu? Lol.. Ila hili la wewe kuacha mneli nna mashaka nalo, wewe ninayekujua uache ile kitu? Btw, salam zimefika, nitakuletea kibulu ya maziwa.
 
HAhhhaaa TB Joshua kawa 'jiolojisti' siku hizi?
Mi staki kuwaza siku mlima Kilimanjaro itakavyoamka uwiiiiii,

ile bado tuli. Mpaka pale TB Joshua atakapotabiri otherwise. Lol
 
Afu najichagua balozi wa mtaa huu, nisuluhisha kesi za ODM kamwibia Bishanga mwanamke, konnie ampiga Rejao ngumi ya macho.

In case ukifufua gazeti la udaku nibip kwa Like nina Breaking News nyingi sana.
 
HAhhhaaa TB Joshua kawa 'jiolojisti' siku hizi?
Mi staki kuwaza siku mlima Kilimanjaro itakavyoamka uwiiiiii,

lolz, jamaa ana fani zote yule.. Tuombe Mungu mlima ushindwe, manake....!
 
nasikia harufu ya rushwa kwa huyu balozi wa kujiteua.........

Afu najichagua balozi wa mtaa huu, nisuluhisha kesi za ODM kamwibia Bishanga mwanamke, konnie ampiga Rejao ngumi ya macho.

In case ukifufua gazeti la udaku nibip kwa Like nina Breaking News nyingi sana.
 
Afu najichagua balozi wa mtaa huu, nisuluhisha kesi za ODM kamwibia Bishanga mwanamke, konnie ampiga Rejao ngumi ya macho.

In case ukifufua gazeti la udaku nibip kwa Like nina Breaking News nyingi sana.

Pia Maziwa mgando yamepotea Jf hatusaplaiwi tulishaanza kuyazoea!
 
Afu najichagua balozi wa mtaa huu, nisuluhisha kesi za ODM kamwibia Bishanga mwanamke, konnie ampiga Rejao ngumi ya macho.

In case ukifufua gazeti la udaku nibip kwa Like nina Breaking News nyingi sana.

Like... Tayari nimekudip aisee! Halafu kwenye meza ya Jf Udaku kuna skendo zako kadhaa..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…