Mtaalamu wa uchumi (CCM) apigia chapuo sera ya CHADEMA ya serikali ndogo

ukienda kwenye majimbo yao ndio bure kabisa...ukienda Arusha jimbo la Lema hakuna cha maana alichofanya,muda wote wa ubunge alikuwa anafanya maandamano na akikesha kuombea watu waliokufa wafufuke..


Kawa mbunge kwa muda gani? Hana alichofanya ukimlinganisha na nani?
Lema kawa na mafanikio makubwa kwa muda mfupi sana;

1. Wananchi wa Moshono wamerudishiwa mashamba yao yalokuwa yanaporwa na serikali kwa kivuli cha uwekezaji.
2. Kawajengea watu ukiwepo ww ujasiri wa kudai haki yao.
3. Kawafungua watu wengi vichwa na sasa wanamtazamo chanya kulelekea ukombozi wa pili wa taifa letu kutoka kwa mkoloni mweusi CCM.
 
Back
Top Bottom