Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

Habari Wakuu....
Nipo mbele yenu kujibu maswali yenu mbalimbali kuhusiana na tiba na ushauri wa magonjwa yanayosumbumbua mifugo yetu mbalimbali na hivyo kupelekea uzalishaji kupungua....

Na pia kwa wale wakazi wa Dar es salaam na viunga vyake wanaohitaji huduma za ki veterinarian natoa huduma za chanjo na kutibu kwa wanyama wote wa nyumbani kama vile ;
  • Pets (Dog and cat)
  • Cattle (Ng'ombe)
  • Shoats (Mbuzi na Kondoo)
  • Fresh water fish (samaki)
  • Poultry (Kuku)
  • Rabbit (Sungura)
Pia nafanya surgical operation kwa pets (mbwa na paka) kama vile castration and ovariohysterectomy (kufunga vizazi kwa madume na majike) and many other surgical operation kwa mifugo ya nyumbani tu.....
wafugaji wanaamini kuwa ukimpandidha ngombe kwa chupa anaxzaa dume. Experience yao inaonyesha hivyo.
Je ni kweli? Kama ni kweli ni kwa nini?
 
Mkuu mi mara nyingi kuku wangu huwa wanatoa hiki kinyesi nikiwapa mualovera
Naskia mualovera pia ni dawa nzuri na inaponya magonjwa mengi....

Lakni nakushauri unapoona dalili yoyote ambayo inaashiria usisite kumtaaarifu tatibu wa mifugo kwa ushauri zaidi kuepuka gharama zisizo na ulazima mkuu.....
 
Aiss vifaranga wa mwezi na nusu wananyonyoka manyoya ya kichwani na vichwa kubaki na mapunye..vibarango!je ni tatizo gani na nini tiba yake
Mkuu hapo tatizo yaweza kuwa ni avian pox (cutaneous form) or yaweza kuwa ni ectoparasite but na imani kuku wako una wa manage vizuri.... na pia yaweza kuwa ni dermatomycosis ambao husababishwa na fungus mkuu.... pia huwa na tatizo hilo la kunyonyoka manyoya....

Thou ningepata picha ingesaidia zaidi mkuu....
 
Nitaweka picha
 
Ndio mkuu pia unaweza wachanja kwa muda huo na bado wakakupa matokeo mazuri tu.....

Lakni ukumbuke ya kuwa mwangalifu next time unapoamua kufuga ufuate njia sahihi ya chanjo....

Kila la kheri mkuu....
Dr. Nakuoma ushauri. Yule ngombe wangu aliyekuwa ameshindwa kusimama..incumbency for 21 days, kama nilivyokwambia amerecover. Ameingia kwenye joto. Nasita kumpandisha nikiogopa atavunjika maana nahisi mifupa haijawa imara. Naomba ushauri.
 
wafugaji wanaamini kuwa ukimpandidha ngombe kwa chupa anaxzaa dume. Experience yao inaonyesha hivyo.
Je ni kweli? Kama ni kweli ni kwa nini?
Hakuna ukweli wowote mkuu ni ideology iliyojenga tu miongoni mwa wakulima.... kupandisha ng'ombe kunaweza kukupa ndama either dume or jike na si vinginevyoo thou inasemekana mara nyingi rate ya dume huwa ni kubwa tofouti na jike sijafuatilia hilo kwa undani sana....

But kutokana na hilo naona NAIC kwa sasa wanatoa mbegu ambayo wewe mkulima ukitaka jike unapata na pia ukitaka upate madume unapata pia but gharama yake iko juu sana kulingana na hizo za kawaida mkuu.....

Nahisi nitakuwa nimekujibu kidogo swali lako mkuu...
 
asante sana. nadhani you are right! NAIC ni nini Dr. wengine hatuyajui haya mambo
 
Dr. Nakuoma ushauri. Yule ngombe wangu aliyekuwa ameshindwa kusimama..incumbency for 21 days, kama nilivyokwambia amerecover. Ameingia kwenye joto. Nasita kumpandisha nikiogopa atavunjika maana nahisi mifupa haijawa imara. Naomba ushauri.
Ana muda gani sasa tangu ajifungue maana kitaalamu inashauriwa ngombe kupumzika siku 45-60 before hajabeba mimba tena kama keshavusha hapo ruksa kupandisha mkuu.....
 
Ana muda gani sasa tangu ajifungue maana kitaalamu inashauriwa ngombe kupumzika siku 45-60 before hajabeba mimba tena kama keshavusha hapo ruksa kupandisha mkuu.....
miezi 4 sasa, ila kule kuugua incumbency for 21 days, si mufupa ni miteke madume mazito yanaweza kumvunja?
 
Dr nieleweshe hapa. Nina vifaranga chotara wamemaliza wiki nne. Cha ajabu niliona wamepatwa na ndui wakiwa na wiki tatu. Nikapewa tetracycline nikawapa kwa siku tano. Leo tena nashangaa bado ugonjwa upo.

Pia naomba kujua ugonjwa huu huwashika vifaranga/kuku wa umri gani?
 
IMG_20171107_060131.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom