ngoja waje JF ni ya wasomi hapashindikani jambo humu
Habari zenu,kuna Rafiki anahitaji mtaalamu wa kuandika CV,atapewa historical background na muhusika mwenyewe then aiandike na kuiandaa kisomi,kama yupo aweke contact zake nimpatie muhusika wawasiliane,ni hayo tu,jioni njema!
Huna haja ya kutafuta mtu. Nenda kwenye hii website itakuongoza namna ya kuandika CV ya kimataifa na mwisho itakutolea final document yako ikiwa kwenye mpangilio unaokubalika KIMATAIFA. Utachagua format umayotaka eg microsoft word au adobe format. Kuna aina ya maswali na maelezo unaulizwa na wewe unajibu na mwishowe unapata CV ya kimataifa. Hii ndio CV inayopendekezwa Europe yote. Na unapotaka kuifanyia update kazi yako ni kui-upload kwenye hiyo site na ku-edit unav such a nice and wise comment ever!!!!