Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,443
- 6,986
Doctor mimi Nina tatizo la Hepatitis B' je naweza kupata tiba kutoka kwako?Habari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
View attachment 361607
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.
Maumivu ya koo, maumivu ya viungo, vitu kuchomachoma mwilini pia kuhisi miguu kuwaka Moto, maumivu hutokea Sana upande wa kushoto kwenye kiwiko, magoti, na kwenye mabega tumboni.nyingine
Habar zenu ndugu znguu,,mwezenu na Kama mwaka sas nasumbuliwa na tatizo la kuwaka Moto miguun na kushika ganzi pia(miguu yote miwil)...na sas imepelekea kukosa nguvu miguun hata nnavyo tembea huwaga napepesuka Kama vle nmelewa.......plz naomba ushauri ndugu znguu Ni ipi tiba au dawa ya kutumia ili npate kuponaaa
Nawashwa na kujikuna mwili mzima nini tatizo?