Mtaalam: Watanzania mnadanganywa Stiglers Gorge haiwezekani kwani Kina cha Maji Mto Rufiji kinapungua mno

Sasa uone haya na soni juu.
Tatizo mlilokuwa nalo la kufikirika, halipo tena.
Bwawa linajaa!!
Post niliianzisha June 2019 mbona hukuja Kuijibu / Kunijibu mwaka huo huo ili nikuone Wewe Mwanaume kweli na umekuja Kuijibu Kishoga leo hii mwaka 2023?

Pumbavu.
 
" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.

Tujadili.
Yaani ww ni mtaalam kuliko hata wale wamisri?
 
Moja halina tatizo, lipo vizuri/ Tatizo ni kubwa sana kwa maji kujaa haraka.

Kulifanya liwe na tija inabidi zitumike pesa nyingi nyingine kujenga bwawa dogo mbele yake, halafu huku maji yafunguliwe, lile dogo liwe linafuwa umeme.

Mwenyezi Mungu akijaalia maji yakijaa, yatafuwa yote mawili. Yakipunguwa, moja litakuwa linafuwa tu. Tunaweza kwenda kwa hesabu hizo yakawa manne matano. No problem.

Brazil ilikuwa tayari kabisa wafanye hivyo, yule mwehu akawaona waliomtangulia wajinga, akapiga chini dili la Brazila akaleya lake la bwawa moja. Pambaf yule.

Euphrates lina mabwawa ya kufulia umeme 19.
Nakuelewa.
Hilo Moja litakuwa redundant very very soon. Climate change is real
 
" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.

Tujadili.
Hivi kuna mtaalam tanzania wa kitu chochote au mkuu unaoiga ramli mchana kweupe. Bwawa limejaa maji kabla ya mda uliokadiriwa wewe unakuja na assumption zako za alinacha
 
Ni upumbavu kuwaza kuwa umeme wa maji hautotosha wakati toka uhuru nchi inaendeshwa na umeme wa maji na hatujawahi kufeli. Tunachimba gesi kuna rais noncense alisema sasa mgao utakuwa historia alikuwa ashapiga 10 pasenti yake ametulia sasa gesi haiwashi hata kibatari.mzalendo namaba moja jpm kaanzisha bwawa ambalo halina longolongo kina jntmsny wanakuja na analysis za kwenye matope kuchambua wasichokijua
 
Naona nimeingia chaka la BAVICHA.
Naombeni Nipite kimyakimya,silaiki kukomemti Wala kusabusabukraibububu
 
Hapa JF nna 12 yrs. Just for the record nimejiunga JF kabla yako. Ujue sasa sijaanza kutumia visimu jana na wakati wa kikwete nilikuwa mtu mzima tu.
Watu tuko kwenye hili jukwaa tangu 2006 huko na kina FaizaFoxy. Hujajiunga kabla yake. Anyway just for record.
 
Nenda juu post #158 utakuta links za hapa hapaa JF.

Kijana unashindana na watu tulioujadili mjadala huo hapa hapa JF? Siku hizo labda wewe bado unajiharria kwenye nepi.

Hata jina hujuwi kuliandika, hata uki search hupati jibu. Jifunze kutumia JF kwanza, halafu search "Steigler Kikwete".
Sidhani kama hata hiyo link uliyoweka kaifungua. Nimegundua watoto wengi hapa JF sometimes wanajibu tu post bila kusoma kinachojadiliwa hasa kama mtu ameweka link au attachment for reference ya kinachojadiliwa.
 
Kwenye wengi pia kuna mengi. Kuwalazimisha wote waone kitu kimoja sawasawa na anachokiona yule, ni ndoto.
Watu zaidi ya m50 wafikiri na wakubali mawazo ya mtu mmoja tu, ni ndoto pia. Ndo maana wanatumia nguvu kubwa sana kujaribu kila mmoja wetu aamini kwamba hii ni 6 wakati upande wapili wao wanaona 9.

Kosa kubwa sana la kikatiba mumrundikia madaraka mengi hivyo na kinga yote hiyo mtu mmoja tu kati ya zaidi ya watu m5 na Nchi kwa ujumla.
Mwingine huyu
 
" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.

Tujadili.
Huu UWONGO kwa taifa ya nani .mto Rufiji unapokea maji kutoka mito zaidi ya 20 mikubwa
 
Sidhani kama hata hiyo link uliyoweka kaifungua. Nimegundua watoto wengi hapa JF sometimes wanajibu tu post bila kusoma kinachojadiliwa hasa kama mtu ameweka link au attachment for reference ya kinachojafiliwa.
Wengi hawajuwi hata kutumia jamii forums.

Kweli kabisa.

Hii Steiglers Gorge ilijadiliwa sana JF zamani. kilichochelewesha kuanza ule mradi wakati wa Kikwete ni sheria za dunia za mazingira, kuna watu walipoona wameukosa mradi ule (naamini ni GE wa USA) na upo tayari unataka kuanza wakachomekea (lobbying) "Selous" iwe ni "UNESCO World Heritage" na "Rufiji Basin" ikalazimishwa kuwa ipo ndani ya Selous.
Ikabidi kablanya kuanza mradi mchakato tuanzie kwa UNESCO, bahati Kikwete akatonywa kuwa abadilishe ramani alifanye bwawa lipo nje ya Selous, mkoa wa Dodoma ambako hakuna Rufiji Basin, UNESCO hawatakuwa na kauli ya kuzuwia. Wakati hui. Mkubwa wa. UNESCO Saudi, na Kikwete tajiri mkubwa wa Kisaudi, Waleed bin Talal ni damu damu. Ikabidi uanze mchakato wa lobbying, ku redesign. Ndiyo ikakubalika waanze na bwawa kubwa moja nje ya Selous la kuhifadhi (reserve) maji, ya kijaa na lenyewe litafuwa umeme, hayakujaa litalisha mengine madogo manne.

Kuingia nguvu kazi na Mapapara yake, akasema jengeni likubwa limoja tu maji yatajaa tu, tutafunga maji kwenda Kwingine kote. Brazil wakagoma ku redesign tena bure. Jamaa si ndiyo akaongea na Wachina, wakakubali lakini deni la kufa mtu.

Wajanja wa mjini wakachomekea Wamisri, Wamisri wakapewa data zote za jamaa alivyo, Wamisri kwa ujanja hawawezekani duniani. Wakakubaliana mkataba wa pesa ndogo sana wa redesign, build and procurement. Wakasema na financing watatafuta wao. Jamaa likaingia kichwa kichwa. Sasa Wamisri wanapiga pesa kidogo kidogo lakini cumulative inakuwa kuliko yangejengwa mabwawa matano. Na hakuna ujanja wa kuwsmageuka au kuwazuwia, maji ukishayavulia nguo.

Hayo ni summarised kwa uchache tu. Lakini kuna mengi sana nyeti sana, nyuma ya Pazia.

Mwacheni mama achape kazi.

Hao Waarabu wanaotukanwa, lakini pesa zao ndiyo zimetuokoa na zinafanya kazi miradi yote aliyoiacha bwana yule. Bila mama ingemfia hiyo miradi. Mama aliikombowa hiyo 2020 wakati bado ni makamo wa Rais. ilishakwama Kabisa hiyo.

Kuna mengi sana nyuma ya pazia (behind the scenes).
 
Back
Top Bottom