Mtaalam wa Kilimo kutoka SUA ( udongo+mimea)

Mtaalam wa Kilimo kutoka SUA ( udongo+mimea)

Hiyo mimea si ndo malighafi za madawa hatari kama cocaine? Uagizaji wake unawezekana kweli?
 
Mkuu kuna watu wanasema kwamba,
"Ukipanda muwa then ukapanda mgomba wa ndizi hatua 5 kutoka kwenye muwa" basi muwa huo utakua lakini hautakuwa na sukari yaani maji tu ya kawaida.Na wanadai kwamba mgomba huwa unafyonza sukari kutoka kwenye muwa. Je kauli hii nikweli au ni dhana tu za kijinga?
 
Ila Coca au poppy hazikubali huku niliagiza zangu kutoka Afghanistan ziligoma kukuwa kabisa licha ya kuziotesha kwenye Green house yenye hali ya hewa kama ya Afghanistan!!
View attachment 658282
Ila za jamii hii hapa chini zinakubali labda umtafutie hizoView attachment 658283
Ila Mtalaam wa kilimo ukizipata na mimi unijulishe nina hitaji mbegu kilo angalau 100KG kwa kuanzia itapendeza!!
ukizipata usisite kunijulisha tafadhli jina langu ni hilo hilo fundi nina patikana central !!
Si ndio unga huu au?
 
Naitwa FINIAS FIDELIS
Ni mhitimu wa shahada ya Agronomia ( taaluma ya udongo na vipando/mimea ) kutoka chuo kikuu cha SUA mwaka 2017 kwa performance ya upper second class( Very good) .
Miongoni mwa maeneo ya kitaalam nayo-fiti ni pamoja na : matumizi ya mbolea na pembejeo nyinginezo za kilimo, sayansi ya mimea, matunzo ya shamba (kuanzia kupanda mpaka kuvuna), upimaji wa rutuba ya udongo ( maabara au shambani kwa kuangalia viashiria vya rutuba) na kutoa tathmini juu ya uzalishaji na matumizi ya udongo na maji, ubora wa mbegu na mengineyo katika kilimo cha mazao .

Kwa sasa hivi nipo Chalinze ninafanya consultancy ( ushauri) kwa wakulima nikiitwa. Natafuta wakulima wanaotaka ushauri wa kitaalam, usimamizi wa mashamba na watu wa projects ( wanaotaka kuandaliwa projects and business plans), makampuni na NGOs za kilimo nazoweza kufanya nazo kazi. Pia kuna miradi ya kilimo nimeandaa natafuta udadhili au kuelekezwa jinsi ya kuupata.

Nipo Pwani ila nitaweza kukufikia popote ulipo ( nauli ya kwenda na kurudi itakuwa yako).
Nafanya haya kwa bei ya maelewano
Contacts zangu :
Simu: 0758479731/ 0625758571
Email : finiasfidelis@gmail.com

Karibuni
Hongera sana , karibu mtaani , jitafute 0763347985 nikupe kazi
 
Wangapi uku wanalima Papai mkoa wa Pwani.. Nampango wa kulima heka 3 ful papai maeneo ya bupu mkuranga. Vip udongo ni sahihi kws papai??
 
Poa mkuu takutafuta ,nahv tunalima mpunga Ruvu.
 
Ila Coca au poppy hazikubali huku niliagiza zangu kutoka Afghanistan ziligoma kukuwa kabisa licha ya kuziotesha kwenye Green house yenye hali ya hewa kama ya Afghanistan!!
View attachment 658282
Ila za jamii hii hapa chini zinakubali labda umtafutie hizoView attachment 658283
Ila Mtalaam wa kilimo ukizipata na mimi unijulishe nina hitaji mbegu kilo angalau 100KG kwa kuanzia itapendeza!!
ukizipata usisite kunijulisha tafadhli jina langu ni hilo hilo fundi nina patikana central !!
ndo mbegu za zao gani hzo coca??
 
kuna mama mmoja anaitwa mtengeti.nadhani ni mwalimu wako.hua nampelekea udongo na maji anafanya sample
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom