Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,954
- 8,148
- Thread starter
-
- #121
Zile nyumba kubomolewa pamesaidia kiasi flani hila pamegeuka sehemu ya kuvutia bangi na kubanjuanaTena kulikuwa kunatisha zaidi pale temeke mwisho enzi hizo kuna nyumba za kota asee kule ni balaa
Kule hakufai mkuu mm temeke naijua yote lakini kindande habari nyingineZile nyumba kubomolewa pamesaidia kiasi flani hila pamegeuka sehemu ya kuvutia bangi na kubanjuana
Ndio mkuu ukiangalia kwa mbele ndio mtaa wa Kindande
Sio sehemu salama uhuni umepitilizaKule hakufai mkuu mm temeke naijua yote lakini kindande habari nyingine
Unapita mtaa huo unatokea tandika sokoniDuh! !!huko sasa Siwaenda kutokea tandika! !
Aah manina kule hapafai. ..uswahili mwingi sana. .ijapokuwa siiujui huo mtaa ila maeneo hayo yamejaa uswahili sana ...huko pamoja na kule Yombo sijui ndio Yombo vituka sijui yombo kila Kala yaani ni disasterUnapita mtaa huo unatokea tandika sokoni
Nina rafiki yangu nakumbuka enzi niko primary nilikuwa nikienda mitaa ya kwao huko kwa kindande alikuwa na brother wake anagongea bangi na mshua wao asee kule respect
Hapo umepata picha kamiliAah manina kule hapafai. ..uswahili mwingi sana. .ijapokuwa siiujui huo mtaa ila maeneo hayo yamejaa uswahili sana ...huko pamoja na kule Yombo sijui ndio Yombo vituka sijui yombo kila Kala yaani ni disaster
Hahaha huko hakufai
Kule kuna group la wazee wa AC Milan wote wanechoka full bangi na age yao miaka 45 kuendeleaNina rafiki yangu nakumbuka enzi niko primary nilikuwa nikienda mitaa ya kwao huko kwa kindande alikuwa na brother wake anagongea bangi na mshua wao asee kule respect
Si utani ndugu ni yakweli haya nakwambia huyo dingi yao muhuni haswa kuna siku alitufuma tunacheki porno kwenye cmu niliogopa kinyama nkajua hili soo mwanangu yeye hakuwa na wasi kabisa, eeh dingi nae si akakaa pale tukawa tunacheki wote na story anapoga
Kule kuna group la wazee wa AC Milan wote wanechoka full bangi na age yao miaka 45 kuendelea
Kule kuna group la wazee wa AC Milan wote wanechoka full bangi na age yao miaka 45 kuendelea
Naishi mkuu japo sasa hivi nipo Bukoba kikazi kwa karibia miaka 2 nikirudi ndio maskani nimepanga hapoAise. .hayo mazingira hayafai kuishi mtu anaye jitambua. .still mna ishi huko tu! ?
Naishi mkuu japo sasa hivi nipo Bukoba kikazi kwa karibia miaka 2 nikirudi ndio maskani nimepanga hapo
Ndio mpango nilio nao mkuuDaah ukirudi jitahidi uhame. Sogea Sogea hata tabata segerea hivi kwa namna fulani kume staarabika
Si utani ndugu ni yakweli haya nakwambia huyo dingi yao muhuni haswa kuna siku alitufuma tunacheki porno kwenye cmu niliogopa kinyama nkajua hili soo mwanangu yeye hakuwa na wasi kabisa, eeh dingi nae si akakaa pale tukawa tunacheki wote na story anapoga
Usiku huwa nasikia wanalia najua tayari kalizwa mtu na hakuna msaada na ukizubaa unapigwaNdio mtaa pia unaoongoza kwa waendesha boda boda kukabwa na kuibiwa boda boda zao