Mtaa wa katikati ya jiji DSM yafungwa kwa muda kutokana na mapigano - ITV LIVE VIDEO

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,316
24,208
Jeshi la polisi limefunga mitaa ya katikati ya jiji la Dar es Salaam kutokana na mapigano makali kati ya kundi la vijana waliokuwa wakipinga kubomolewa kwa nyumba na waliodai kuwa na hatimiliki ya nyumba hiyo ambapo watu kadhaa wamejeruhiwa vibaya na wengine wanashikiliwa na polisi

video hisani ya ITV Tanzania ya youtube
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…