Mtaa wa katikati ya jiji DSM yafungwa kwa muda kutokana na mapigano - ITV LIVE VIDEO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtaa wa katikati ya jiji DSM yafungwa kwa muda kutokana na mapigano - ITV LIVE VIDEO

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by bagamoyo, Aug 23, 2012.

 1. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 3,590
  Likes Received: 1,166
  Trophy Points: 280
  Jeshi la polisi limefunga mitaa ya katikati ya jiji la Dar es Salaam kutokana na mapigano makali kati ya kundi la vijana waliokuwa wakipinga kubomolewa kwa nyumba na waliodai kuwa na hatimiliki ya nyumba hiyo ambapo watu kadhaa wamejeruhiwa vibaya na wengine wanashikiliwa na polisi


  video hisani ya ITV Tanzania ya youtube
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,393
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Inatisha.......watu wataanza kuzoea tu
   
 3. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 1,958
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Ni noma asee
   
Loading...