Mtaa fulani Buguruni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtaa fulani Buguruni.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by DEVINE, Mar 8, 2012.

 1. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa alitembelea viwanja vya machangu doa,baada ya kusimamisha gari wakaja wasichana wengi wakimgombania,ila yeye alivutiwa na mmoja,na mazungumzo yakawa ivi.
  Jamaa;...Sasaa,niambie bei zako.
  Changu;...Bao 1 la kusimama ni buku,bao 1 kwenye nyasi buku mbili,bao 1 kwenye gari au kwenye kochi buku 5 na bao moja buku kumi...
  Jamaa akachomoa buku kumi na kumpa changu,..
  Changu;..Nilijua tu mtu kama wewe,sasa tunaelekea gesti gani?
  Jamaa;...Nani kasema tunaenda hotelini? Hebu fanya fasta tafuta kichaka,hiyo buku kumi inatosha kabisa bao tano kwenye nyasi..
   
Loading...