Mwili wa marehemu kufanyiwa ama kutokufanyiwa uchunguzi, nalo ni swala la imani kiongozi?
Tafadhali tofautisha imani, ambayo ni hakika ya mambo yatarajiwayo na bayana ya mambo yasiyoonekana, na swala halisi kama la kupima ama kutokupima kama mtu kafa ama yuko hai. Hapo kweli kuna imani?
Please be realistic!.
Kipimo cha akili mbovu na ubongo rojo ni mambo ambao yanatokea vichwani mwetu. Tuna tabia za kijinga sana kujifanya tunajua SIRI ambazo ni ujinga mtupu. Mleta mada ni mmoja wa wale watu wanaolewa pombe na kudai wao ni USALAMA WA TAIFA. Yaani watanzania tuna shida!
Msuya amekemea ushenzi - fikra zako zilizo chini ya ubongo wako uliojaa kiza kinene ukakufunulia kuwa mtuhumu Msuya kuwa aliua sokoine! Akili na tabia yako vina utando wa buibui!
Secretary wa Msuya, dada mmoja wa Kipare, alikuwa bado kijana tu, akisali pale Temeke Luth Church.
Dada huyu alikuwa na pacha mwenziwe, ALIPOTEA na asionekane tena katika uso wa dunia.
Sasa ni zaidi ya miaka 30 dad huyu hajaonekana.
Tunapokaribia kuadhimisha miaka 30 tangu kilipotokea kifo kilichojaa utata cha aliyekuwa Waziri Mkuu Ndg.Edward Moringe Sokoine,ni wakati mwafaka sasa kumhoji Mh.Cleopa Msuya juu ya tuhuma za kuhusishwa na kifo cha Mh. Sokoine;kwa sababu Mh. Msuya kwa siku za karibuni amejitokeza kukemea maovu mbalimbali yanayofanywa na viongozi wa CCM bila shaka pia atakuwa na ujasiri wa kujitokeza na kutolea ufafanuzi wa tuhuma hizi.
Huyo secretary, nikikumbuka jina akiitwa nafikiri Uzeeli, hajapatikana hadi leo, baada ya zaidi ya miaka 30.taarifa gani ilitolewa kupotea kwa binti huyo? au aliuawa au unadhan kitu gani kilimtokea huyo secretary
mzee wako alichukiwa na kinana kwa rushwa zake akamuanzishia skendo ya tembo,,sasa naona baada ya mzee msuya kuusema ukweli mmemuanzishia ya sokoine,,, eti dawa kuwafunga watu midomo wasimguse mzee ambae ni mgonjwa,,,,kazi mnayo kuuza nyanya mbovu itakaaa kwenye friji hadi lini?? nasikia ata kamba za viatu haoni hadi avalishwe
Mnataka kuuleta yale mambo yenu ya kupakazia kama mlivyo mpakazia salimu ahmedi alimua karume.
Tunapokaribia kuadhimisha miaka 30 tangu kilipotokea kifo kilichojaa utata cha aliyekuwa Waziri Mkuu Ndg.Edward Moringe Sokoine,ni wakati mwafaka sasa kumhoji Mh.Cleopa Msuya juu ya tuhuma za kuhusishwa na kifo cha Mh. Sokoine;kwa sababu Mh. Msuya kwa siku za karibuni amejitokeza kukemea maovu mbalimbali yanayofanywa na viongozi wa CCM bila shaka pia atakuwa na ujasiri wa kujitokeza na kutolea ufafanuzi wa tuhuma hizi.
Huyo dada alikuwa akiishi Tandika Magorofani, gorofa E. Alipotea ikiwa ni kipindi cha bajeti, wakifanya kazi hadi usiku. Binti aliacha mtoto mdogo kabisa ndo anajifunza kutembea. shame on this stupid Msuya.
Tunayo mengi ya hicho kipuuzi, Kimsuya.
Wanabodi,
Mwaka wa uchaguzi ndio huu. Wadau wameanza kufunguka . Tunaomba hints zaidi mwenye walau uelewaa