Msuva awe nahodha wa timu ya Taifa Stars

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,309
12,604
Mbwana bado anahangaikia hatima yake, mara Genk, mara Aston, mara Fenabache mara Ubelgiji tena. Nadhani mchango wake kwenye timu ya taifa hautoshi kuendelea kushikilia unahodha wa timu hii.

Mchango wa Msuva ni mkubwa sana, anacheza kwa nguvu zake zote akiwa na timu yake ya taifa. kwanini tusimpe unahodha?
 
Nikikumbuka kuna kipindi mbwana alikuwa majeruhi ila aliitwa ivo ivo kwenye timu ya Taifa huwa naishiwa nguvu kabisa
 
Mbwana bado anahangaikia hatima yake, mara Genk, mara Aston, mara Fenabache mara Ubelgiji tena. Nadhani mchango wake kwenye timu ya taifa hautoshi kuendelea kushikilia unahodha wa timu hii.

Mchango wa Msuva ni mkubwa sana, anacheza kwa nguvu zake zote akiwa na timu yake ya taifa. kwanini tusimpe unahodha?
Msidharau mchango wa samatta

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada ni dizain ya wanawake ambao wakihongwa kilo ya nyama na muuza butcher anaanza kumuona mmewe anayemtunza kila siku kuwa ni fala.
Dah!! Yaani ulikosa mfano mwingine wowote ule, usipokua huu wa kumlinganisha mwanaume mwenzako na jinsia ya kike!!! 🙁
 
Mleta mada ni dizain ya wanawake ambao wakihongwa kilo ya nyama na muuza butcher anaanza kumuona mmewe anayemtunza kila siku kuwa ni fala.
Bwana wako mbwana anaaibika na kukatisha tamaa vijana waliokuwa wanamuona role model wao, mashabiki wake hawajui wanunue jez ya timu gani tena. Walipata hasara kununua zile za Aston Villa, wakamsamehe wakaingia mifuko kununua za fenabac, hola, na sasa wanaona uvivu kumfuata huko kwenye timu ya daraja la chini ubiligwiji.
 
Back
Top Bottom