Msukuma na Mudhungu ziwani.

Msukuma na Mudhungu ziwani.

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,633
Reaction score
6,229
Mdhungu mmoja alikuwa akisafirishwa na Ngosha wawili kwenye mtumbwi na wakati akiongea kwenye simu, jambo likatokea nyuma yake ila hakuona kwa kuwa busy na simu na alipomaliza, kugeuka nyuma hamuona Masanja na Mudhungu akapata mchanganyiko na kuanza kuuuliza alipo Masanja. Ila kabla ya hapo walisafiri kwa gari muda mrefu kufika ziwani ambapo Mudhungu alikuwa akiimuliza Masunga:

Mudhungu: How many kilometers left?
Masunga: Twende tu (Mdungu akajua twenty two).

Hii ilienda kama mara nne hivi na mwisho wakafika ziwani na kupanda huo mtumbwi na mwisho Masanja akapotea.....

Mudhungu: Masunga, where is Masanja?
Masunga: Masanja is Nyanza (Kadumbikia ziwani Victoria), Mamba is dimadima, tandulaga vipandes. Mzungu say yes?
Mudhungu: Noooo!!!!!

NB: Hii siyo yangu lakini, mwenyewe aliyetunga wala simkumbuko.
 
Yaan katika makabila 120 umewaona wasukuma tuu??Wakwere jee??Khaaa!!
 
kawaida tu walishatuona wasukuma sio wajanja wakati ndo wajanja kuzidi kila kitu alafu ndo wanaongoza kwa akili kama mnabishi angalieni vyuo vikuu vya masomo ya sayansi wamejaa wasukuma tu wengine wote wanapenda arts hahhah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom