Msukuma; kwani akuna siku nintakuchja nipate unga bwana? haya basi,nipatie mikate mitano,mayai saba na sota ile kupwa ya fanda niende nikalale NJAA!![/h]
Msukuma asemi sota bali SODA,sio kupwa ni KUBWA yaani capital letters ndo maana ya kukandamiza. Huyo atakuwa mluya a.k.a lunje from Kenya,konfam yua sos.