Msukuma amshukia Chenge, Ngeleja na Kafumu, ahoji magereza ni kwa ajili ya Babu Seya tu?

Yeye mwenyewe juzi amekiri kununua mchanga wa wizi toka GGM mbona yupo nje? CCM kweli wanapendwa na watu wenye IQ ndogo
 
Anajaribu kucheza na sumu ya anaconda huyu musukuma!

Joka la makengeza haliwezi fungwa gerezani maana siku ya case yake litamwita William Mkapa aje kua shaidi wake no moja, sasa Mkapa akisema kwamba joka ni adirifu halina chembe chembe za ufisadi unategemea nini? Hapo ndo joka litakua lishapona
Kama vile kwenye ile kesi ya Balozi Mahalu,Mkapa alivyoenda kumtetea Mahakamani na jamaa akaachiwa.
 
Joka janja janja sana lile! King Cobra Mtemi Andrew Jonh Chenge, halafu jamaa kasoma seminary, what if asingesoma seminary, angeuza nchi na watu wake huyu jamaa!
Hahah jamaa ni pesa mtu yule.Jamaa kapiga bilion 1 na ushee kwenye escrow afu alivyobanwa akajibu hio ilikua ni consultation fee kwa Rugemarila,watu wote kimyaaaaa hahah.
 
Back
Top Bottom