Msukuma amshukia Chenge, Ngeleja na Kafumu, ahoji magereza ni kwa ajili ya Babu Seya tu?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
2,689
2,000
Mbunge wa Geita vijijini Joseph Kasheku nae ametaka mgodi wa GGM uchunguzwe kwa mkuwa una madini wengi kuliko Kahama.

Amewashukia wabunge wa CCM waliotajwa kwenye kashfa na mzee mmoja wanayemuheshimu bungeni aliye tweet na kusema yeye hawezi kuhojiwa mpaka apelekwe mahakamani, na kuhoji yeye ni nani?

Amesema Ngeleja , Chenge na Kafumu hawana kinga ya kupelekwa mahakamani na magereza sio kwa ajili ya wakina Babu Seya tu.

Na kuna mtu mmoja anayetajwa kila kashfa inayotokea na kuhoji yeye ni nani?

 

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,515
2,000
Ukitafuta waliotufikisha hapa kwa majina utakuwa unapoteza muda bure.....maana ccm wanashirikiana kupitisha uchafu wote tena kwa kuitwa na kupigwa beat na mwenyekiti kwa mtu atakayepinga miswada bungeni. Hii mimbwa ikiishaitwa na mwenyekiti kazi inayobaki nimiwachokoza wapinzani wenye akili nyingi kwa kutumia uwingi wao (wengi wape hata km ni wapumbavu na mabashite km ccm? Hapa wahenga sikubaliani nao katu....)
Tena haya malafi makubwa ccm yanapitisha haya mambo huku yakitukana watz matusi ya nguoni na kwa kejeri na dharau huu huku hii mafisadi ikipiga tu makofi....
Watz hawaitaki lkn inalazimisha kukaamadarakani kwa mabavu kwa goli la mkono bara na kwa kupora ushindi wa wazi visiwani
Shame I you ccm
 

Scropion_Master

Senior Member
Jan 8, 2017
109
250


Wako wa kunikamata ila wakunifunga Hakuna.

Nanukuu :
Nilitia sahihi kweli kama ripoti inavyodai ila kwa maagizo ya boss wangu sasa tatizo liko wapi kwangu?

Aliyetuagiza sisi kutia sahihi ndiye boss huyo huyo aliyemwagiza yeye kuuza nyumba za umma na kama ni kesi zinafanana.

Am not a stupid to sign agreement without a security.

✍✍✍

Shikamoo Mzee Chenge

Hii kaongea lini?
 

Wild sniper

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
2,942
2,000


Wako wa kunikamata ila wakunifunga Hakuna.

Nanukuu :
Nilitia sahihi kweli kama ripoti inavyodai ila kwa maagizo ya boss wangu sasa tatizo liko wapi kwangu?

Aliyetuagiza sisi kutia sahihi ndiye boss huyo huyo aliyemwagiza yeye kuuza nyumba za umma na kama ni kesi zinafanana.

Am not a stupid to sign agreement without a security.

✍✍✍

Shikamoo Mzee Chenge

Hahaha mkuu huu ni uchochezi umetoa wapi haya maneno
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
88,889
2,000


Lakini si ulianza mwenyewe kuwatukana? Ungekaa kimya wangekutukana? There were times that you were that nice guy. Whatever happened to you post 2015 beats me.
I'm still the same 'ol G.

Problem is, y'all only like to hear things that you like to hear.

I'm not here to please anyone nor looking to win the Mr. Congeniality title.

I just dish it out raw and unedited.
 

BIN NUN

JF-Expert Member
May 23, 2014
2,133
2,000
Aghalabu huwa ajabu kwa wasiojua nini hasa maana ya ajabu!
Mkuu unapata shida ya nn? Mpaka muda huu huoni bado ni CCM kwa CCM tu wanachafuana sijui kuvutana sasa achana na huyu mmoja tu au hujaiona ile list? Hahahha yaan wanaosemwa watuhumiwa CCM haya wanaosemwa wanauchungu na rasilimali pia ni CCM wee kaa jonjo tujui watakujasema wahusika ni chama gani tulia tu mzee
 

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,296
2,000
I'm still the same 'ol G.

Problem is, y'all only like to hear things that you like to hear.

I'm not here to please anyone nor looking to win the Mr. Congeniality title.

I just dish it out raw and unedited.

Thats another new problem you have. Summing me up with others that you call nyumbu or whatever else. Anyway its past sunset so I can understand.
 

Zungu Pule

JF-Expert Member
Mar 7, 2008
2,218
2,000
Mkuu unapata shida ya nn? Mpaka muda huu huoni bado ni CCM kwa CCM tu wanachafuana sijui kuvutana sasa achana na huyu mmoja tu au hyjauona ile list? Hahahha yaan wanaosemwa watuhumiwa CCM haya wanaosemwa wanauchungu na rasilimali pia ni CCM wee kaa jonjo tujui watakujasema wahusika ni chama gani tulia tu mzee

Na JPM akiwasifia Chenge na Ngeleja, wote wanageuka na kusifia. Kwa mfano, JPM akianza kuwakosoa Kikwete na Mkapa hadharani, wote watageuka na kuanza kuwaponda hao wastaafu. Everyone is acting.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom