nimetoka kupokea call yake sasa hivi, mama yake mgonjwa sana, leo ndio nimeweza japo kuongea nae na dk kadhaa otherwise namchukia kwa usumbufu wake.
Sorry i can never seem to narrow things down.... hasa kama imenigusa/inanihusu.... thus the long post....
Mbu Mapenzi kitu cha ajabu saana na kweli kabisa hayana adabu…. For ukiwa in love, yenyewe pamoja na huyo abuser (who in most cases anakua hana mapenzi ya kweli) ndio yanakuendesha… Kwa kuzingatia hio term ya Emotional Rollercoaster … Ubaya ni kwamba kama mhusika bado una feelings za Ex wako… hata apewe ushauri gani atakubali NDIO but yet still itapofika Yule ex akajitokeza na kumsumbua ana rudi hali ile ile ya unyonge na kubulutwaa… hio tokana na ukweli kwamba hawezi control hizo feelings…. Uzuri tu ni kwamba hata abuluzwe namna gani iko siku yeye mwenyewe mhusika atatia akili (time hu vary…😉 kua sasa basin a hatavumilia upuuzi wowote toka kwa huyo ex.
From experience… Kwa wanao nifahamu kwa ukaribu… hapo nyuma I was a Great example wa "Msukule wa Mapenzi"…. Usiombe… Nilikua naambiwa but yakawa yanaingilia sikio moja na kutokea linguine… But nilikuja vumbua mwenyewe!!! Huyo ex nimezaa nae but imepita hata three years toka tuliwasiliana/onana mpaka tu juzi kati kwenye matatizo ya misiba....
mimi hata afe yeye siendi i hate him so very much
VOR kuna watu waelewa ambao wanaelewa unapowaambia mwisho wa kunipigia simu may be ni saa mbili za usiku na baada ya hapo sipokei tena calls au kutuma sms. Ila mkuu kuna watu hata uwashikie bastola kuwaelewasha hayo hawakuelewi. Especially mtu anapotaka kile anachotaka kitumizwe. Ikishakuw aamekujulisha kuwa atakupigia baadae na ukakubali kwake yeye haimaanishi lolote kuw ani usiku au ataharibu uhusiano wako au sio muda muafaka wa kupiga simu. Sio wote ni waelewa mkuu na sio wote wanakubaliana na kile wewe unachotaka. Mtu kama ni mtafuataji wa attention kutoka kwa mtu hatajali kama anakukasirisha au anaingilia hata privacy yako
Kusaidia katika shida siyo mbaya,ila kuwa mwangalifu hasa kama ana mahusiano mengine.
Okay kama mimi bado nina-feelings kwake na yeye ana feelings kwangu ndio maana ananisumbua basi maybe tulifanya kosa kuachana na maybe we should have worked out our problems and stayed togetherVOR hapa ina maana tayari you are over her.... tatizo ni pale kua bado you are sprung....
Basi hapo kama hatuna kitu kinachotuunganisha kama mtoto (Basi nitamuogopa kama ukoma) sababu hataki kujenga bali anataka kubomoa; kama kuna kitu cha kutuunganisha kama mtoto basi tamwambia mwenza wangu kwamba Ex wangu ana matatizo makubwa lakini hakuna jinsi sababu tuna mtoto pamoja kwahiyo akipiga simu hata mwenza wangu anaweza akapokea kuchukua ujumbe, au kama ni usiku naweza kuweka namba yake kwenye Screening List hata ikipigwa basi sitaisikia lakini taona missed call later ndio naweza kumpigia na kumuuliza kama kila kitu kipo shwari
.
Well done AshaDii. Hapo penye kusema basi, wengi ndipo inapowachukua muda mrefu kujitambua wanaburuzwa!
Can you share the tips, ulifanyaje fanyaje mpaka ukafanikiwa kukata mawasiliano muda mrefu hivyo?
Okay kama mimi bado nina-feelings kwake na yeye ana feelings kwangu ndio maana ananisumbua basi maybe tulifanya kosa kuachana na maybe we should have worked out our problems and stayed together
Okay kama mimi bado nina-feelings kwake na yeye ana feelings kwangu ndio maana ananisumbua basi maybe tulifanya kosa kuachana na maybe we should have worked out our problems and stayed together
Na kuna ex couples zipo hivo.... waliachana, then labda mmoja wao pride ilikua hurt hakutaka kusamehe.... at the end huko mbeleni the still feel for each other... hua inasumbua saana na kua unfair kwa wapenzi wao wapya...
Ila tatizo ni kama mmoja bado anapenda hali mwingine has moved on....
Ashadii hapo inakuwa ngumu sana kuhide zile feelings hasa mnapokutana wakati huo may be kila mmoja ana mwenza.
It is hard to hide feelings towards each other mnapokutana. Ila sasa ngumu ni kuwa pale unapokuta mmoja ndio anazo mwingine hamna na mmekutana ni ile issue ya kuhama mahali hata kama ni sehem ya starehe
VOR hapo sawa nakupata kwa option yako na kw auchaguzi wako. Ila elewa hata mwenza wako uliye nae kuna kipindi atachoka maana ataona kuwa ndio kweli huyu alikuwa Ex wake. Isije ikawa hapa ananidanganya kupokea simu au kupokea ujumbe tuu ujnaopigwa usiku kumbe mchana wana mawasiliano ambayo sio ya kawaida. Hapo pia kuwa makini sana
Chauro, yamekukuta wapi tena?? i thought wewe bado mdogo??..............Inauma sana!.................umewaza nini leo?
hapo mie ndipo panaponitia matatizoni kila wakati, na x ndio ametumia kama kigezo, anafanya kwa kusudi la kuharibu/kunipotezea amani, ni ngumu sana kila cku kumweleza mwenza wako kwamb ni salamu tu, cjui nn na nn na akakuelewa, kweli inakera sana...Mbu nae cjui ametokea wapi na hii thread leo.
Basi hapo kama hatuna kitu kinachotuunganisha kama mtoto (Basi nitamuogopa kama ukoma) sababu hataki kujenga bali anataka kubomoa; kama kuna kitu cha kutuunganisha kama mtoto basi tamwambia mwenza wangu kwamba Ex wangu ana matatizo makubwa lakini hakuna jinsi sababu tuna mtoto pamoja kwahiyo akipiga simu hata mwenza wangu anaweza akapokea kuchukua ujumbe, au kama ni usiku naweza kuweka namba yake kwenye Screening List hata ikipigwa basi sitaisikia lakini taona missed call later ndio naweza kumpigia na kumuuliza kama kila kitu kipo shwari
Okay kama mimi bado nina-feelings kwake na yeye ana feelings kwangu ndio maana ananisumbua basi maybe tulifanya kosa kuachana na maybe we should have worked out our problems and stayed together
...Nice one, ni bora kuwa muwazi kwa mweznza wako mpya kuyaepusha haya.
VoR mybrother you never learn ee? tunazungumzia emotional roller coaster hapa, kwamba nia na madhumuni ya huyo anayekufanyia hivyo anajua ulimpenda sana, akakutumia ipasavyo na anaujua udhaifu wako.
Kwakuwa mmeachana, anatumia udhaifu ule ule [kwamba anajua ulimpenda sana,] kuamsha hisia zako -si za mapenzi- ila huruma ambayo anajua itazaa tena mapenzi akutumie tena kukuumiza. Learn bro, it's a circle. Hayo si mapenzi...it's Emotional Roller coaster- "Msukule!"