Msukule ni nini?

we kiboko,kwa maelezo haya nimekuaminia
 
Majimoto nasikia ipo na ingine ya kupotea tu, mtu anajipeleka mwenyewe kwa mchawi
 
Ukitaka kumwona msukule live, kutana na team Wema.
Cc: Evelyn Salt
 
Binadamu ana mwili na ndani ya mwili kuna roho, roho ya mtoto, roho ya kijana na roho ya mzee zote ziko sawa, tofauti ipo kwenye mwili uliovalishwa hiyo roho. Kwa taarifa yako watoto ndio wanaotumiwa sana kwenye ulozi kuliko vijana na wazee.
Mkuu nina swali la kukuuliza!
 
aisee!! kwahiyo ndugu wasipolia kabisa huyo ndugu yao anaweza kurudi/kufufuka au?!
 
yani dunia ina mambo mengi sana ya kustaajabisha,,

dunia na vilivyomo ni zaidi ya tuijuavyo
 
Ahsante mkuu @MziziMkavu,ngoja nitafute schoolarship ya ujeruman sasa maana hakuna namna!
 
Majimoto nasikia ipo na ingine ya kupotea tu, mtu anajipeleka mwenyewe kwa mchawi
Aisee hata mi nimesikia habari hiyo ya mtu kukimbilia nyumbani kwa mchawi yaani wazi wazi mnamwona anaenda huko. Na akifanikiwa kwenda ndio basi tena.
 
Binadamu ana mwili na ndani ya mwili kuna roho, roho ya mtoto, roho ya kijana na roho ya mzee zote ziko sawa, tofauti ipo kwenye mwili uliovalishwa hiyo roho. Kwa taarifa yako watoto ndio wanaotumiwa sana kwenye ulozi kuliko vijana na wazee.
Nini cha kufanya wachawi wasiniibe?
 
Ni mwanadamu aliyedumazwa akili,na mwanadamu mwenzake kwa Imani ya kuwa daraja lake la mafanikio.
 
Majimoto taratiiiiibu naona unamrithi mshana jr ahsante kwa maelezo nimeokota kitu hapo kua roho zote zipo sawa

Mkuu tomjelly, Majimoto sidhani Kama anamrithi mshana jr nenda jukwaa la biashara kuna Uzi stick unaitwa biashara ya uchawi ni ya 2011, majimoto alikuwa anamwaga nondo za kuogofya kuhusu uchawi, nimeusoma ule Uzi two days ago hapa nalala taa inawaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…