Msuko niliyosuka jana!

Msuko niliyosuka jana!

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,377
Reaction score
3,394
1568127_hairt_jpg09e302874534781021e12dc050e43725
 
Mashallah kwakweli, sijui reception pakoje
 
Nimeupenda huo msuko na mie wacha nimwambie husband anisuke.....
 
alaa kumbe ni wewe nilikuona mitaa flan pale nanii street
 
Mungu ampi mtu kila kitu, kibiongo chake tu nimikwisha mkumbuka. Zinduna Mama habari ya masiku? Still upo oman au upo bongo?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom