Ni research gani hiyo uliyofanya iliyohusisha wanawake 15? Je unaweza ku-share na wana JF methodology na findings zake?
Kwa mimi ninavyofahamu huo mstari huwa hauonekani kama binti hajazaa, na anapozaa mstari huo huonekana zaidi kuanzia kwenye kitovu kushuka chini hadi kwenye sehemu ya kinena ni black vertical line. Hii nimekua nikiitumia kipindi sijaoa kumpata binti ambaye hajazaa kabisa. Sikupenda kuoa aliyezaa, kama kazaa mstari huonekana zaidi na kama hajazaa hauonekani kabisa. Ni hayo tu!
Kila mwanamke anao huo mstari sema hukolea zaidi anapokua mjamzito hauna uhusiano na uwezo wa kuzaa
Is this your methodology and findings? and you had 15 females in your sample size? and yet you want to tell us that linea nigra is associated with women fertility? That's not possible! Your methodology and findings can not be trusted!
Yes this it is! The research was not intended for the public benefits instead it was to fulfill my own needs. No publication was made to inform the public about its findings, it remained to be my secret with those who informed me about linea nigra and its applicability to women. Trust me please linea nigra is faint in young ladies and sometimes it is not visible at all. In adult women who have already given an infant, the line is well marked and visible. The number of sample for myself is small but if combined with those of the 'washkaji' who conviced me to excute the research, it bring us into conclusion!
mbona wa kwangu ulikua unaonekana kabla hata sijazaaa?
Mkuu hapa unatuweka njia panda wadau kwa maelezo yako? inamaana msitari ukionekana tu ujue kesha zaa na usipoonekana ujue kitu 'sealed", mbona wengine mstari upo ila bado hajazaa?Kwa mimi ninavyofahamu huo mstari huwa hauonekani kama binti hajazaa, na anapozaa mstari huo huonekana zaidi kuanzia kwenye kitovu kushuka chini hadi kwenye sehemu ya kinena ni black vertical line. Hii nimekua nikiitumia kipindi sijaoa kumpata binti ambaye hajazaa kabisa. Sikupenda kuoa aliyezaa, kama kazaa mstari huonekana zaidi na kama hajazaa hauonekani kabisa. Ni hayo tu!
Your conclusion can not be trusted hata kama unasema it was for your own purposes, besides what you have reported is not new, it is known for ages!
Mkuu hapa unatuweka njia panda wadau kwa maelezo yako? inamaana msitari ukionekana tu ujue kesha zaa na usipoonekana ujue kitu 'sealed", mbona wengine mstari upo ila bado hajazaa?