Mstaafu rais ben mkapa ashambuliwa................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mstaafu rais ben mkapa ashambuliwa...................

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sinafungu, Sep 17, 2013.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2013
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,336
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180


  Habari


  Mkapa ashambuliwa


  Ezekiel Kamwaga

  Toleo la 315
  11 Sep 2013


  [​IMG]


  • Swahiba wa baba Obama amwondolea uvivu

  RAIS mstaafu Benjamin Mkapa ametuhumiwa kwamba ndiye aliyerejesha nchini rushwa, kitu ambacho kilipigwa vita na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, ambaye ndiye aliyewalea kiuongozi na kisiasa Mkapa na viongozi wengi wengine wa sasa.
  Tuhuma hizo zimetolewa na mwandishi mkongwe wa habari Afrika Mashariki, Philip Ochieng, katika mahojiano aliyofanyiwa na gazeti la Daily Nation la Kenya hivi karibuni
   
 2. Heaven on Earth

  Heaven on Earth JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2013
  Joined: Mar 21, 2013
  Messages: 37,008
  Likes Received: 4,575
  Trophy Points: 280
  Nilijua kavamiwa labda na watu na kushambuliwa.......

  kumbe ushambuliaji wa maneno lol
   
 3. V

  Viscom Senior Member

  #3
  Sep 17, 2013
  Joined: May 23, 2013
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  eheeeee....tiririka mwandishi.
   
 4. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2013
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,435
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Ochieng anamfahamu Mkapa fika kwani walifanya wote kazi na wakina Ulli Mwambulukutu pale daily News enzi hizo Mkapa akiwa Managing Editor; hivyo anachoandika anausahihi nacho!!
   
Loading...