Mstaafu Kikwete, hebu shauri jambo

Mstaafu Kikwete, hebu shauri jambo

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Mstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki

Mambo yanaenda kombo, tuko kwenye Giza Nene, na wewe Mstaafu umeshindwa kumshauri au kuiongolewa Tanganyika

Angekuwepo Mkapa, Nyerere, Mwinyi, au Magufuli wasingekaa kimya wangetoka kumshauri na kukemea

Mzee Kikwete
1. Idadi ya watu wanaopotea hujaisikia, kwanini unakaa kimya

2. Mgombea pekee wa Urais, hili kwako unaona ni sawa

3 Suala la bandari kwako halijakufika

4 Masai Ngorongoro hawana makazi, hili nalo umelipuuza Watanganyika wanakuwa wakimbizi nchini kwao, na huko Zanzibar amani Iko

5. Ufisadi

Toka Mzee wetu utoe neno
 
Kufa kwa Mzee Kibao na hasara kubwa sana. Bora huyu msaliti wa nchi angekufa maana hana la maana.
 
Mstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki

Mambo yanaenda kombo, tuko kwenye Giza Nene, na wewe Mstaafu umeshindwa kumshauri au kuiongolewa Tanganyika

Angekuwepo Mkapa, Nyerere, Mwinyi, au Magufuli wasingekaa kimya wangetoka kumshauri na kukemea

Mzee Kikwete
1. Idadi ya watu wanaopotea hujaisikia, kwanini unakaa kimya

2. Mgombea pekee wa Urais, hili kwako unaona ni sawa

3 Suala la bandari kwako halijakufika

4 Masai Ngorongoro hawana makazi, hili nalo umelipuuza Watanganyika wanakuwa wakimbizi nchini kwao, na huko Zanzibar amani Iko

5. Ufisadi

Toka Mzee wetu utoe neno
Huyo ndio hana maana kabisa, katigharimu kwa mambo mengi sana huyo mzee kuanzia katiba mpya na mambo mengi hana uzalendo wowote
 
Ni wale wale tu wachumia tumbo wanacho zidiana ni Bi Tunu hana haya ana iba wazi wazi afu design kama akili kisoda
 
Mstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki

Mambo yanaenda kombo, tuko kwenye Giza Nene, na wewe Mstaafu umeshindwa kumshauri au kuiongolewa Tanganyika

Angekuwepo Mkapa, Nyerere, Mwinyi, au Magufuli wasingekaa kimya wangetoka kumshauri na kukemea

Mzee Kikwete
1. Idadi ya watu wanaopotea hujaisikia, kwanini unakaa kimya

2. Mgombea pekee wa Urais, hili kwako unaona ni sawa

3 Suala la bandari kwako halijakufika

4 Masai Ngorongoro hawana makazi, hili nalo umelipuuza Watanganyika wanakuwa wakimbizi nchini kwao, na huko Zanzibar amani Iko

5. Ufisadi

Toka Mzee wetu utoe neno
Mtanzania wa kawaida anachojali ni riziki yake kupatikana huwa hana habari na hizi harakati za wanaharakati.

Idadi ya wanaounga mkono mawazo ya aina ya haya ya kwako hawafikii hata milioni tano katika nchi yenye watu milioni 64.

Bandari imeongeza sana mapato ya hazina kwa sasa, hizi chuki za uzanzibari na uzanzibara hazina kabisa watu wa kuziunga mkono.
 
Mstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki

Mambo yanaenda kombo, tuko kwenye Giza Nene, na wewe Mstaafu umeshindwa kumshauri au kuiongolewa Tanganyika

Angekuwepo Mkapa, Nyerere, Mwinyi, au Magufuli wasingekaa kimya wangetoka kumshauri na kukemea

Mzee Kikwete
1. Idadi ya watu wanaopotea hujaisikia, kwanini unakaa kimya

2. Mgombea pekee wa Urais, hili kwako unaona ni sawa

3 Suala la bandari kwako halijakufika

4 Masai Ngorongoro hawana makazi, hili nalo umelipuuza Watanganyika wanakuwa wakimbizi nchini kwao, na huko Zanzibar amani Iko

5. Ufisadi

Toka Mzee wetu utoe neno
gentleman,
acha kusumbua wastaafu ambao wamefanya kazi zao kwenye taifa hili kwa weledi mkubwa bila kuingiliwa na mwingine nje ya uongozi wake.
Ni muhumu sana kuoa fursa na nafasi na kuacha wenye nafasi katika utumishi wa umma wawatumikie waTanzania wote kwa salama na amani.

mstaafu hawezi kupoteza wakati kushauri kuhusu habari za drama za upotoshaji :pulpTRAVOLTA:
 
Chambua kuhusu masuala ya utekaji na mauaji yaliyoshamiri nchini
 
Mstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki

Mambo yanaenda kombo, tuko kwenye Giza Nene, na wewe Mstaafu umeshindwa kumshauri au kuiongolewa Tanganyika

Angekuwepo Mkapa, Nyerere, Mwinyi, au Magufuli wasingekaa kimya wangetoka kumshauri na kukemea

Mzee Kikwete
1. Idadi ya watu wanaopotea hujaisikia, kwanini unakaa kimya

2. Mgombea pekee wa Urais, hili kwako unaona ni sawa

3 Suala la bandari kwako halijakufika

4 Masai Ngorongoro hawana makazi, hili nalo umelipuuza Watanganyika wanakuwa wakimbizi nchini kwao, na huko Zanzibar amani Iko

5. Ufisadi

Toka Mzee wetu utoe neno
Kumshauri nyuki asusie mzinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom