miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,110
Sawa, nakuhitaji mara moja, nakusubiri hapa prime minister's office fanya haraka.
Wamemtoa rafiki yangu Mike ambae alikuwa manager pale kwa sasa wanajuta maana hakuna wateja wengi
Ndio. Kuna mvinyo wa kupikia. Bia pamoja na mvinyo hutumiwa katika Nyama inapokua inachomwa.
Yote ya nini hayo? Chakula cha 50000 ni ufisadi tu.
Miaka ya kupangiwa maisha na gharama zake zimepitwa na wakati.
Kuita kila kitu "ufisadi" ni mgando wa fikra. Kama hutaki/huna uwezo acha. Hujalazimishwa. Jaribu kusafiri kupanua ubongo wako.
Sasa kwanini umenipa like? Unaposema miaka ya kupangiwa maisha na gharama yamepitwa na wakati, unaweza kuniambia hizo nyakati za kupangiwa maisha na gharama zake zilikuwa lini?
Wewe ndio ulioamua kupanga gharama yangu hii kama "ufisadi" sio mimi. Mimi natumia pesa yangu ninavyopenda. Nampa kila mtu " like" akipita hapa.
Na wakati wa Ujamaa kama hujui au hujazaliwa ndio wakati wa kupangiwa maisha na serikali kuanzia chakula mpaka fikra.
Panua ubongo. Kama hupendi, usile.
Watalii huwa hawajaribu ugali na dagaa wakija huku? Wabongo shida....
View attachment 226274
njoo pale mahali nikuchukue tuende ila usiwe na dozi ya malaria
Umeniweka aisee hujatokea, nilikuwa nishajiandaa kupata msosi.
miss chagga, ulichepuka acha kusingizia daladala maana hata hukuwa hewani.
Pole Mdada.
Pole sana, sikujua hilo.simu iliibiwa pia
Pole sana, sikujua hilo.