Msosi wa Rhapsody's DSM

Mtakujaga kutapika mbele za watu kwa kujaribu vyakula vya watu

Mkuu kwani kila mtu si hujikuna kwa urefu wa kuchaze...

Kama wewe uwezo wako ni kugonga supu ya makongoro ya buku jero, wengine wana uwezo wa kula vya buku 50...

Halafu sasa kuna wengine wenye uwezo wa kula zaidi ya hiyo buku 50 ila tu wamekausha kwa kuwa wanaona ni jambo la kawaida...
 

Mkuu, Siweki picha kwa nia ya kujionyesha. Kuna blog nyingi tu za watu wanaweka picha ya vyakula walivyokula kama hobby. Mimi pia ni hobby yangu. Na kuna Mkuu juu aliuliza bei, nikamfahamisha. Sasa sioni issue hapa ipo wapi. Kama imekukera jipitie tu.
 
Mkuu, Siweki picha kwa nia ya kujionyesha. Kuna blog nyingi tu za watu wanaweka picha ya vyakula walivyokula kama hobby. Mimi pia ni hobby yangu.

Kwani nani aliyesema kuwa unajionesha mkuu?

Nimeandika kuwa umeamua kuonesha na huo ndio ukweli kwa kuwa hata sasa umekiri hivyo...

Hiyo post nilichofanya ni kumsaidia huyo aliyekuwa anashangaa...

Halafu tambua utofauti wa blog na forums, blog humilikiwa na mtu mmoja na ana uhuru wa kufanya chochote maana yeye ndiye super admin...

Lakini forums wamiliki ni wengi hivyo ukikosolewa piga kimya kwa kuwa nao waliokukosoa wanatumia uhuru ule ule ulioutumia kuweka ulichokiweka....
 

Nimekuelewa. Wewe kosoa, mimi nakula taratibu.
 

Watu weweeee! Baba la baba una majibu hadi basi
Nami nitatupia changu, nikuone sasa
 
Mtakujaga kutapika mbele za watu kwa kujaribu vyakula vya watu

Panua ubongo. Kama hupendi, usile.
Watalii huwa hawajaribu ugali na dagaa wakija huku? Wabongo shida....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…