Msosi wa rais

kwenye mazishi ya michael jackson, tulikuja kufahamu kutoka kwa magic johnson kuwa:

"king of pop, michael jackson aliagiza mpishi wake amletee kfc, yes kentucky fried chicken". magic hakuamini maana yeye alikuwa kaagiza vitu vya hali ya juu. Alipoona hivyo, na yeye akasema hebu ondoa hapa hapa huo upupu na weka hapa kfc. Walikaa chini na kuanza kula. Yes, kwenye zulia na kuanza kula.

Watu wengi huwa wanajipandisha chat na kuanza kula na kunywa vyakula vya bei mbaya sana. Ila amini usiamini milango ikifungwa:
1. Mhaya anarudia senene wake.
2. Mnyamwezi anarudia nsansa na nswalu yake.
3. Mhehe anarudia kijibwa chake ahhh, samahani, pombe ya mianzi.
4. Mkoministi anarudia vodka yake.
5. Muha anarudia udaga/migebe yake.
6. Rama mla watu, mhhhhh no comment.
7. Masanilo anarudia kula ..........
8. Watusi na waha wanarudia kwenye maziwa ya mgando kutoka kwenye kibuyu (kisavo).
9. Wasukuma na viazi vitamu kwa maziwa ya mgando.
10. Kuhusu kikwete, tafuta vyakula vilivyo maarufu pale msata, ndiyo chakula chake.
we vipi? Mhaya hawezi kuacha kula senene hata kama ana pesa kumzidi bill gates. Si swala la pesa ni la kiroho.
 
Hili swali ni la uchokozi kwelikweli,lakini pia ni la kifalsafa zaidi,mie nafikiri washauri wa raisi wa maswala ya misosi wanatakiwa kumshauri vizuri ,maana kuna vyakula vingine ukila vinakufanya usitamani kukaa nyumbani,yaani wewe utatamani kusafiri tu tena nje ya nchi bila kujali matatizo ya watu wako uliowacha nyumbani..niliwahi kuambiwa zamani nilipokuwa mdogo kwamba nikila miguu ya kuku nitakuwa situlii nyumbani...
 
Back
Top Bottom