mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,546
- 45,085
Kiaje mkuu?, umejitoa, ww sio mbongo?Wabongo hata hoja serious mnazifanyia masihara halafu ndio mnataka kuendesha viwanda, mtasubiri sana
Kiaje mkuu?, umejitoa, ww sio mbongo?Wabongo hata hoja serious mnazifanyia masihara halafu ndio mnataka kuendesha viwanda, mtasubiri sana
Wasomi ni wachache sana hata daladala moja haijai. ...ila wenye elimu wanajaa mwendokasi zote,treni reli ya kati na ya tazara, hata titanic ingekuwepo had Leo isingetosha[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21]je Watanzania ni wasomi au wana elimu....?
je Watanzania ni wasomi au wana elimu....?
Mawakili wasomi wasio na elimu.Habar wapendwa, nimekuwa nikijiuliza sana niipi tofauti ya msomi na mtu mwenye elimu maana unakuja kuta mtu amesoma ila elimu hana na mwengine anaelimu lakini hajasoma je tofauti uko wapi? ???????
Hivi unajua ni bora kuelimika (kuwa na elimu) kuliko kuwa msomi kwa Tz??Mawakili ndo wasomi wengine wana elimu hata uwe profesa wa elimu, hatukuiti msomi lakini wakili ni msomi.
Ishu ya dhamanaHivi unajua ni bora kuelimika (kuwa na elimu) kuliko kuwa msomi kwa Tz??
Ebu angalia sasa mawakili wasomi hawajui hata kutafsiri taratibu za kumpatia mtu dhamana wanaishia kulalama wakati ufinyu wao wao wa akili??!!
Umeongea kinyume chake. Elimu ni taaluma au maarifa yanayoendana na vitendo. Mtu mwenye elimu ataonekana kwa kufanya vitendo ambavyo ndani yake kuna maarifa na mara nyingi vinakuwa na matokeo chanya ila msomi linatokana na neno kusoma yaani aliyekariri maandishi fulani. Na kuna level tofauti tofauti za usomi na wala haziendani na vitendo. Tanzania tuna wasomi wengi ila hawana elimuMsomi anauwezo wa kuchanganua mambo kwa kina hata kama ameishia form 4 but mwenye elimu anaweza akawa amefika level ya juu but hawezi kureason
Engineers?....huyo aliyekutengenezea hiyo sim au pc unayoitumia vibaya.Duniani kuna wasomi 3 tu
Lawyers
Doctors
Economist