toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,961
- 12,552
Ndio si unasikia wanajiita wakiri msomi, ulishakia mwalimu msomi, daktari msomi au afisa ugani msomi na inginia msomi?Kwahyo wanasheria pekee ndio wanastahili kuitwa wasomi!??
Sisi wote watanzania tuna PhD.Rais kasema.Habari wakuu.
Ningependa kufahamu ni kiwango gani cha elimu mtu akifikia anastahili kuitwa msomi?
Je, akijua kusoma na kuandika anastahili kuitwa msomi? Au akimaliza elimu ya msingi anafaa kuitwa msomi? Au kuitwa msomi kunaanzia ngazi ya elimu ya sekondari (O-level & A-level)? Au ni ngazi ya Astashahada, Stashahada, Shahada, Uzamili, Uzamivu hadi Uprofessa?
~Gai da seboga
Ili uitwe msomi inatakiwa uwe na angalau degrees nne. In Mwakyembe's voice.
Dadavua mkuuuMwakyembe kasoma shule ila HAJAELIKA. maaana yake nini ?
Maana yake ni hana AKILI, unaeza ukwa umesoma shule ila huna akili, UKITAKA MAELEZP ZAID, REPLY NTAKUPATIA MDADAVUO WA MAMBO YA SHULE, kuelimika na kuwa na akili,
Nakupata nakupataaa... Ongeza saut kidogoMsomi
Ni mtu aliyepata Maarifa flani ambayo kwayo yanakuwa na manufaa kwa jamii yake.
Baadhi ya matokeo ya Msomi.
1. Abuni kitu au Jambo linaloinufaisha jamii Kama yule mgunduzi wa Umeme au Kijiko Cha kulia msosi.
2. Anayeweza zalisha ajira yoyote halali.
3. Anayeweza toa suluhisho flani la tatizo kama huduma muhimu au ya kawaida.
NK.
Ukiona mtu ana PHD halafu anategemea kuajiriwa na hazalishi chochote na huko ofisini kwake Hana Cha zaidi ya kujisalinisha posho na kuwanyima maslahi walio chini yake huyo ni Zero IQ.
Sio Msomi.
Kuanzia uzamili na kuendelea.Habari wakuu.
Ningependa kufahamu ni kiwango gani cha elimu mtu akifikia anastahili kuitwa msomi?
Je, akijua kusoma na kuandika anastahili kuitwa msomi? Au akimaliza elimu ya msingi anafaa kuitwa msomi? Au kuitwa msomi kunaanzia ngazi ya elimu ya sekondari (O-level & A-level)? Au ni ngazi ya Astashahada, Stashahada, Shahada, Uzamili, Uzamivu hadi Uprofessa?
~Gai da seboga
Dadavua mkuuu
Inabidi niende huko niitwe MsomiEasy!
Ccm wengi ni wasomi ila hawajaelimika mfano mzuri Palamagambaí ½í¸
Tofauti yake ni nini, hebu tufafanulie.Never confuse EDUCATION with INTELLIGENCE