Gai da seboga
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 532
- 1,036
Kwahyo kuanzia la saba tunastahili kumuita msomi??Hata drs la saba ni msomi.
Kwani ni kiwango gani cha pesa mtu anakua nazo hadi tunasema fulani ana pesa au fulani hana pesa. No floor and no ceiling. Hata wewe hapo tunakuona una pesa na wewe ni msomi.
Ukiacha sasa kuvimbaa kwa kumtajia mkondo unaosoma... Rasmi n kiwango kipi tutambue kuwa n msomi? La saba au??Inatokana na unataka 'kujimwambafai' kwa mtu wa level gani...
Kama upo la 7A unaweza kumwambia mwenzako wa la 7C kwamba wewe ni msomi..
Kwahyo Tz tutakuwa na wasomi wachache sana kwa hali hyo!!Ili uitwe msomi inatakiwa uwe na angalau degrees nne. In Mwakyembe's voice.
You are right. Umesahau juzi juzi tu kuna jamaa ex la saba ametengeneza umeme huko Iringa na Njombe mpaka mashine za kusaga nafaka zinasaga. Yule kama si msomi ni nini?Kwahyo kuanzia la saba tunastahili kumuita msomi??
HahahaaInatokana na unataka 'kujimwambafai' kwa mtu wa level gani...
Kama upo la 7A unaweza kumwambia mwenzako wa la 7C kwamba wewe ni msomi..
[emoji1690][emoji1690][emoji1690]ukishajua kuhesbu,kusoma na kuandika halafu ujue kuongea na kiingereza vizuri
Tuko pamoja mkuuShukraan kwa mchango wako mkuu
Sio kwamb amebarikiwa akili nje ya mfumo wa kielimu..You are right. Umesahau juzi juzi tu kuna jamaa ex la saba ametengeneza umeme huko Iringa na Njombe mpaka mashine za kusaga nafaka zinasaga. Yule kama si msomi ni nini?
Kwahyo wanasheria pekee ndio wanastahili kuitwa wasomi!??Soma digrii ya sheria LLB ndio wasomi pekee
Mbondei unapenda ligi kama nini? Dah. Sawa hivyo hivyo ulivyo sema ni sawaSio kwamb amebarikiwa akili nje ya mfumo wa kielimu..
Ndio na inajulikana dunia nzima sii bongo tuuKwahyo wanasheria pekee ndio wanastahili kuitwa wasomi!??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Si kwa nia mbaya... But thanksMbondei unapenda ligi kama nini? Dah. Sawa hivyo hivyo ulivyo sema ni sawa
Msomi ni yule mwenye shahada za elimu ya chuo kikuu kuanzia tatu. Mfano Dr Mwakyembe. Japo yeye ni msomi wa kukariri maandishi.Habari wakuu.
Ningependa kufahamu ni kiwango gani cha elimu mtu akifikia anastahili kuitwa msomi?
Je, akijua kusoma na kuandika anastahili kuitwa msomi? Au akimaliza elimu ya msingi anafaa kuitwa msomi? Au kuitwa msomi kunaanzia ngazi ya elimu ya sekondari (O-level & A-level)? Au ni ngazi ya Astashahada, Stashahada, Shahada, Uzamili, Uzamivu hadi Uprofessa?
~Gai da seboga
Dr. 4 mangoes ameonesha usomi wake kwa lipi? Lakusema tusifunge ndoa hadi vyeti vya kuzaliwa au lakusema hastahili kukosolewa. Amesema amefundisha vyuo mbali mbali lkn hajasema ametoa wanafunzi wangapi vinara. Kwa hiyo Dr. 4mangoes sio msomiMsomi ni yule mwenye shahada za elimu ya chuo kikuu kuanzia tatu. Mfano Dr Mwakyembe. Japo yeye ni msomi wa kukariri maandishi.