Elections 2010 Msomaji raia wa raia mwema analipwa na slaa?

Status
Not open for further replies.
Nimekuwa nikisoma gazeti la Raia mwema kwa muda kuna mtu ameamua kubadili jina lake na kutumia jina Msomaji Raia ili kumshambulia Rais Kikwete.mtitiliko wa maandishi yake hautofautiani na mwandishi mwingine wa gazeti hilo ambaye agharabu kwenye makala zake za kila wiki kutomshambulia JK na serikali yake. kulikoni msomaji Raia?

He, kumbe ukiandika unalipwa na mtu!
Wewe unalipwa na nani? Miraji, Ridhwan au mama yao?

.......mwisho wenu umefika nasikia hata afya zenu zimeanza kuyumba............
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom